Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,593
Mmefurahi kupata sare
Hahaha Klopp kashindwa kutamba mbele ya Sarri.!!!Kijana povu la nini. Umebahatika kupata point moja shukuru Mungu basi jamaa
[emoji16][emoji16]Badala ya "kuongea" "unaropoka"
Sarri ameshindwa kutamba mbele ya nani?Hahaha Klopp kashindwa kutamba mbele ya Sarri.!!!
Hii ni aibu kubwa sana.
Hii game baada ya kuona Henderson kaanza nilijua tutapigwa tu.
Ni muda sasa kikosi kibadilike, Keita arudi kuwa starter.
#TutaheshimianaTu.Sarri ameshindwa kutamba mbele ya nani?
Hmm.. Liverpool fan trying underestimate Chelsea fans by using soft words.Hongereni, nilikuwa nina wa underrate sana.
Ila mmeonesha ukomavu, top 4 ni yenu kupoteza.
Liverpool were on so much pressure today, otherwise we could have scored like 3 good goals.
Hahaha Klopp kashindwa kutamba mbele ya Sarri.!!!
Hii ni aibu kubwa sana.
Ok tumekubali, lakin hatujapoteza game zote 2,Mnapaswa mkubali kwamba mngepoteza gemu zote mbili. Maana mlileta dharau na mameno mingi hasa baada ya Ku draw na WH. Mkaona Chelsea itakuwa kitonga...
#TutaheshimianaTu.
yep.... ilikuwa mechi nzuri sana. hata tungeshindwa ningesema hivi hivi.Bonge la Mechiii! Bongee La Mechii
Mzee Sarri ana mwezi mmoja tu ndani ya EPL....Mkuu Ni Kweli Sometimes Joking inahitajika lakini Jaribu Kujifunza Kuandika Posta zenye Contents japo Mara mojamoja.
#TutaheshimianaTu.Ok tumekubali, lakin hatujapoteza game zote 2,
and Sarriball haijafanikiwa leo
Mkuu Ni Kweli Sometimes Joking inahitajika lakini Jaribu Kujifunza Kuandika Posta zenye Contents japo Mara mojamoja.
Hmm.. Liverpool fan trying underestimate Chelsea fans by using soft words.
Huwezi ukasema una underrate timu ambayo haijapoteza katika mechi zake 6. Inashika nafasi ya tatu, ina mshambuliaji hatari zaidi kwa sasa. Huwezi kuunderrate hiyo timu. Eti mmeonyesha ukomavu [emoji3][emoji3]
Yan utafikiri ndiyo tumepanda daraja msimu huu kwa hayo maneno yako.
Hehee.. Cant imagine Pedro angekuwepo ingekuwaje.. Huyo Fab sasa looh. Yan nyie uwezo wenu ndiyo uliishia pale wakati huo mi nina backup ya kutosha. Nimeshika ukashikika wewe.Kweli mkuu, yaani kwa ubora wa kikosi cha Liverpool, nilijua mechi itakuwa rahisi sana, siwezi kulalamika sana ila kutokuwepo Keita kumeharibu mnyubuliko kwa kiasi kikubwa katikati.
All in all, mnastahili kuwa hapo mlipo.
Lete stats ulivoshika mtu tuoneHehee.. Cant imagine Pedro angekuwepo ingekuwaje.. Huyo Fab sasa looh. Yan nyie uwezo wenu ndiyo uliishia pale wakati huo mi nina backup ya kutosha. Nimeshika ukashikika wewe.
yep.... ilikuwa mechi nzuri sana. hata tungeshindwa ningesema hivi hivi.
nikiri tu kuwa Chelsea wapo vizuri - si timu ya kubeza hata kidogo.
that's why kwangu mimi no complaints kuhusu results. tumetoa draw nyumbani kwa timu ambayo 75% ya kikosi wamebeba EPL 2 ndani ya miaka 4 iliyopita.
but ile frontline yetu Klopp anahitajika kuipiga msasa wa chuma chakavu. ukimuondoa Bobby ambaye hayupo vibaya sana, Mane & Mo are playing like a bunch of strangers to each another.
bring on the Naples on Wednesday!!
Ollachuga ili hawalioni kabisa na kamwe hawataliona.Mmepata ujasiri wa kujitokeza baada ya suluhu.
Klopp bila aibu ameshindwa kutamba mbele ya Sarri wakati yeye ana uzoefu na EPL.