Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nahisi kama Klopp jana alisema Origi bado hajakuwa fit bado ankle injury
 

Nikikiangalia Hichi Kikosi B yani Miaka ya Brendan Rogers, Roy Hodgson na King Kenny Dalglish Ndiyo Kilikuwa Kikosi Chetu Cha Kwanza..

Kweli Tumetoka Mbali!!!! Now let us show the World that we are ready!!!!!!!!!!!

To end this season empty handed is an acceptable.. No excuse.

Leo Klopp atakapochezesha Kikosi B basi ipo haja ya Kuwapigisha Gengenpressing angalau Wakurupuke, then 2nd half Kwenye Dakika from 75th' aingize Watu wazima Na Wapoze Mchezo tuendelee na Style yetu Ya Win Ugly...
 
Kwa mtazamo wangu hii timu inatosha kuwamaliza Chelsea
Mignolet

Clyne Lovren Matip Moreno

Henderson Fabinho Keita

Sturridge Solanke Shaqiri

Mkuu Hapo Kwenye Solanke Kwa Upande Wangu Ninamuondosha Coz Huyu Solanke Mimi Simrate Kuwa Ni Mchezaji Wa Mpira.

Mimi Ninamuona Kama Ni Sharo Flani tu Hivi Anaelazimisha Fani.
 
Lovren na Origi mbona klopp ashasema hawatahusika na mchezo wa leo
 
Tusubiri line up mda si mrefu tutaona yaliyomo..
Mbele kuna shaqir, mane na sturidge katikati pia fabinho kapata nafas. Kwangu Mimi kikosi kizuri chenye wachezaji wazoefu. Watakaza Sana maana ni nafasi kwao ya kuonyesha uwezo ili kuingia kikosi cha kwanza
 
Namuonea huluma Origi nakumbuka klop alimuamini mechi kama hizi alipiga 3 pekeake akaingia kikosi cha kwanza na kufunika Sturrigde
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…