Keep dreaming..mko hivi misimu yote.
Mkuu
Mentor Maranyingi huwa Sikosoi Mawazo Yako lakini Kwahili Ninakupinga.
Hapa umeongea Kwa ajili ya Kujifariji tu Kuwa utamaliza ligi juu yetu.
Ukweli unaujua Wazi Kuwa Hatujawahi Kuwa hivi Kwenye Ligi Zaidi ya Miaka 30.
Hata Last Season Kwenye Michezo Yetu 6 ya mwanzo Tulipigwa 5 - 0 na Man City, Tukapigwa 4 - 1 na Spurs, Tukadraw na Watford, na Matokeo mengi mabaya.
Ukiangalia Na Nyuma Ya Hapo pia Ni hivyohivyo Tulikuwa na Rekodi mbaya zaidi Kiasi ya Kwamba Muda kama huu Tuna points si zaidi ya 10.
Leo nakushangaa unasema miaka yote tunakuwa Kama hivi.
Kama Utafuatilia Vizuri Last season Kuanza Mwanzo Wa Ligi Mpaka January tulikuwa Taabani.. Tulikuja Kuzinduka Kuanzia February baada Ya Kuja VVD.
Lakini Marahii tumezinduka Mwanzo Wa Ligi halafu unasema Miaka yote tunakuwa hivihivi!!!
Mkuu kwa hapo Huna reason ya kuweza Kuback up your Claim.
Hatujawahi Kuanza ligi hivi Hata Siku moja Kwani Kijitimu Kama Soton kilikuwa kinatupiga nje ndani, Kwenye Uwanja Wa Lesta ilikuwa lazima tuangukie pua! Na Wembley tulikuwa hatuna Ujanja Kwa Spurs.
Lakini Marahii Tumewanyoosha wote...
Mshabiki yoyote Wa Mpira basi Anajua Kama Kwenye Soccer Change ipo... Hakuna kitu CONSTANT katika Soccer.. Na Unapozungumzia Mpira Kwa Facts na si Jealous basi utakubali Kuwa Liverpool Msimu huu Ni Tofauti na Misimu iliyopita.
Mara hii we are different Mkuu.