Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


 
Peak Michael Owen (at LFC) was better than Luis Suarez..

Debate,

In my own humble opinion I think Suarez has an edge. I like his work rate, fighting spirit and different ways of scoring goals even if it means cheating. Ni mtaalamu wa free kicks, set pieces dribbling through defenders etc. He also has ability to make everyone around him work hard.
Owen was very talented and had pace lakini ni mzuri only during counter attacks.
 

Sasahivi LFC inahitaji Stadium ambayo at least yenye Capacity ya Kubeba Spectators 75K+ per game.
Kwa hii Stadium yetu ya Sasa ambayo Approx. 55K is too small Kwa Scousers.
 
Fab3 Leo Ndiyo Siku Sahihi Ya Kuwaprove Wrong Watu kwa Zile Criticisms Zote Walizowatupia.. Hata Mimi Niliwakosoa Sana Hapo Awali Lakini Sasahivi Nimegundua Kitu Baada Ya Kuona hii issue imekuwa exaggerated na Egyptians.

Ubora Wa Matokeo Ya Leo Tunahitaji Wafunge angalau 3+ goals.

 
These guys (£75m + £0m) Leo Wanajukumu Moja tu la Kuhakikisha Tunaondoka na Clean Sheet no excuse.

 

think one of them will be benched/rested today..
 
Sasahivi LFC inahitaji Stadium ambayo at least yenye Capacity ya Kubeba Spectators 75K+ per game.
Kwa hii Stadium yetu ya Sasa ambayo Approx. 55K is too small Kwa Scousers.
mpaka sasa Liverpool wanaandaa plan and proposal ya phase 2 expansion ya anfield road end.

ilikua watangaze very soon ila kwa sasa watasubiri kumalizika kwa modern training facility kumalizika ambayo imezinduliwa just juzi tu.

Phase 2 expansion itaifanya anfield kua na capacity ya around 61,000.

mpaka sasa capacity ya anfield ni 54,000

plan ni kuongeza seats 7000 kwenye upande wa anfield road end.

This new capacity of around 61,000 itaifanya anfield kua ya pili kwa ukubwa in england behind old Trafford.

cha kushangaza hao man city eti nao wanampango wa kutanua uwanja wao wakati mpaka sasa hawana uwezo wa kuujaza. spurs uwanja wao ukikamilika nao utakua mkubwa !
 
Wakuu habari za alaasiri, naomba msaada jinsi ya kuitumia hiyo mobdro kuangalia game live kupitia simu yangu.
Nilienda Playstore nikaandika mobdro but zikaja channel mbalimbali za tv sports.
Msaada tafadhali, sina access ya conventional TV leo.
 
Wakuu habari za alaasiri, naomba msaada jinsi ya kuitumia hiyo mobdro kuangalia game live kupitia simu yangu.
Nilienda Playstore nikaandika mobdro but zikaja channel mbalimbali za tv sports.
Msaada tafadhali, sina access ya conventional TV leo.

Mkuu Mobdro haipo PlayStore! Hii Unagoogle zinakuja Link unachagua Official Link Yao Halafu Unadownload then una install baadae UnaOpen..

Nipe Feedback Ukihitaji Msaada Zaidi.
 
Salah or Mane.

Klopp said Firmino is fit for today's game

he hinted kuhusu Shaqiri kuanza...

So i dont know kama itakuwa hivyo..
kuna kila dalili ya shaqiri kuanza Leo maana Jana kwenye press conference JK alisema shaqiri has done everything in training inorder to be picked in starting line up! klopp amekiri kua ni fault yake kutomuanzisha.

vile vile naona huenda salah akapumzishwa it look like ana fatique Fulani hivi!
 

I concur with your analysis...
 
Mkuu Mobdro haipo PlayStore! Hii Unagoogle zinakuja Link unachagua Official Link Yao Halafu Unadownload then una install baadae UnaOpen..

Nipe Feedback Ukihitaji Msaada Zaidi.

Thanks much.
Ngoja nijaribu, I will be back for feedback.
 

Shaqiri akianza, it means kati ya salah au mane atapumzishwa, if not MF mmoja anaweza kupumzishwa ili Shaqiri acheze namba 10 or 8

Pia naombea sana Fabinho aanze leo, perfect match ya kumtambulisha kwenye league.
 
Naikumbuka vizuri hilo picha jamaa sijui alibadili I'd.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…