Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Nilitaka kuzungumzia hii point, na ndo maana KDB anakuwa muhimu sana kwenye hii timu kwa sababu he makes them look best strikers kwa mipira anayopenyeza kutokea katikati.

Otherwise mipira ya pembeni kwa Sane na Mahrez inakuwa ya kubahatisha.

Anahitaji a very clinical finisher (world class).
 
Naona loveren karudi atatumika ktk calagabao cup

Yani Mpaka Leo Huwa Ninacheza Nikikumbuka World Cup alipojiita Yeye Ni Beki Bora Duniani wakati sio Beki Bora Hata Ndani Ya Liverpool achiliambali EPL na Huko Duniani Kwa Ujumla Waliko Kina Ramos na Umtiti Hata Tusiende.
😀😀😀😀
 
Aisee kipendacho roho hula nyama mbichi yaani kati ya aguero/Gabriel unachukua rashford? Hakika hata mawe ya mlimani yatapiga kelele kwa hili!
 
Aisee kipendacho roho hula nyama mbichi yaani kati ya aguero/Gabriel unachukua rashford? Hakika hata mawe ya mlimani yatapiga kelele kwa hili!

Kijana tukianza na huyo Aguero cha kwanza katika weakness zake ni kwamba sio pacy ambayo ndio huwa foremost quality ya natural center forward cha pili Aguero anapoza sana mashambulizi kama unafuatilia cha tatu jamaa hana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira .

Tukija kwa Gabriel huyo dogo uzuri wake wa kwanza ni kuwa huwa hapoozi mashambulizi kama Aguero lakini weakness zake nae hana pacy nature ambayo tunaitegemea kutoka kwa natural centre forwards vile vile nae hana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira.

Tuje kwa dogo Rashford ambae namuona kama Centre forward aliekamilika, cha kwanza dogo ni Pacy, ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira na mwili anao mzuri kwa position ya CF (mrefu halafu ana nguvu) huyu ndie complete striker labda haonekani kwa sababu striker anaependwa na Mou ni Lukaku
 


Gabriel ni mchezaji mzuri lakini huwezi kutuambia kwamba kwa CF ya Gabriel unategemea kuwa level moja na klabu kama Real Madrid
 

Hivi kabla ya mwaka 2005 ulikua unashabikia timu gani..???
 
Hivi kabla ya mwaka 2005 ulikua unashabikia timu gani..???

Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Hajaanza Kushabikia Mpira au Akishabikia Arsenal, Liverpool au Manchester.

Lakini Asije Akakudanganya Kuwa Alikuwa Akiishabikia Chelsea.. Kabla Ya 2004 Chelsea haikuwa na Mshabiki Hapa TZ.
 
Kwahyo chelsea inaizid liver history?
Au kwa current season mshaizid tayar?
 
Taja team ndogo ambayo haijawahi kutwaa taji la ligi ya kwao toka osama bin laden aanze kuwa gaidi
 
Liverpool FC held a special 'breaking ground' ceremony at the club's Academy in Kirkby today to mark the beginning of work on its new training campus.


 
Rafa Benitez: "I was proud to give Stephen Darby his Liverpool debut and now I am deeply saddened to learn of his retirement. Stephen is a special person and he has my total support. He will never walk alone."
 
Former Liverpool target Nabil Fekir insists he just wants to show he's a good player after showing he can compete with the Premier League's best by scoring the winning goal for Lyon against Manchester City.
 
😀😀😀 Watu Wana Maneno bhana! Wanawaambia Mtajiri Wa Mafuta PSG eti European nights at Anfield are something that money just can’t buy.
 
Record yetu itabaki ile ile
18 League titles
5 UCL crowns

Sasa hata mbadilishe majina toka Super League kwenda EPL bado namba ni ile ile

Sijasikia hata mtu mmoja akisema tumechukua UCL mara moja tu kwa kuwa huko nyuma ilikuwa ikiitwa European Cup
Kuanza kuangalia soka baada ya ITV na DTV na CTN kuja kinawafanya kutokuwa na knowledge nzuri ya soka
Names will change but not NUmbers
18 League titles
5 UCL crowns
.....and many more to come
YNWA
 
Bro mbona mnatumiaga nguvu sana kubishana na watu wasio waelewa?

Yani simple "LOGIC" mtu anakomaa kama nunda?

Mda mwingine mnatakiwa muwaulize kwamba ina maana hatujawahi kuchukua Carling Cup? Je ilipokuja kuitwa EFL ilifuta history ya wale waliochukua ikiitwa Carling Cup?

Tuachie hapo, sahivi inaitwa Carabao Cup je imefuta history ya wale waliochukua wakati ikiitwa EFL?

Kwamba walioshinda UEFA Cup history haiwatambui kwasababu saivi shindano haliitwi tena UEFA Cup bali UEFA Europa League?

Kama logic simple kama hii mtu anashindwa kuelewa mimi ndio maana naonaga kubishana na mjinga na mimi nitaonekana mjinga na ndio maana huwa siingilii hizo battle sio kwamba huwa sionagi.

Kop mimi nakushauri wapuuze tu hao jamaa maana ni kama wanakupotezea muda bure.

Bora ufanye mambo yako mengine tu Kop kuliko kubishana na watu wasioelewa hata 'the simplest logic'.
 
Former Liverpool target Nabil Fekir insists he just wants to show he's a good player after showing he can compete with the Premier League's best by scoring the winning goal for Lyon against Manchester City.

Jana kacheza vyema sana LKN beki za kati Man City sio muscular
Wapunguze bei sababu ni very risk player!
 

Enough said
Case closed
Asante mdau mwenzangu wa Melwood
 
Hapo kwa Rashford hapana Man utd hawana striker wa kutisha
 
mzee wa futuhi, msalimie Ntuzu
Mkuu Mimi msimu ujao narudi kwa nguvu zote uko uefa. Namchukua kwanza Uyu dgo Europa halafu the next atakuwa ni kaka yake uefa.

Kwani wewe una mpango wa kuchukua uefa msimu huu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…