Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The better Liverpool back line. Huyu VVD anahitaji watu strong sana. Leo naona mnajitahidi majogoo.

Nilisema Mwanzo iko Siku Mashabiki Wa Chelsea Watakuja Kukiri Kuwa Beck Line Ya Liverpool ndiyo Beki imara Zaidi Kwa Timu Za Kiengereza hatimae unaanza Kukubali.
Kinachomkuta Neymar na Mbappe Leo Kisubiri Kwa Hazard na Goroud Wako.
 
Mkuu mimi nimesifia back line sijasema ndiyo bora. Hayo mengine unaongeza wewe. Nazisubiri hizo mechi kwa hamu sana
 
Nawapa salamu tu, naona umebanaaa halafu mwisho mnaanza kuachia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…