Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Sasa wanaume tushashika usukani. Hapa tukuna mwezi May wakati tunanyanyua makwapa huku nyie mkiendelea kujenga timu. [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa wanaume tushashika usukani. Hapa tukuna mwezi May wakati tunanyanyua makwapa huku nyie mkiendelea kujenga timu. [emoji16][emoji16][emoji16]
My deep worries for Bobby's eye though!! Hope atakuwa ok come the tuesday's. PSGRoberto Firmino vs Spurs
80% passing
24/30 passes
1 chance created
1 shot
1 goal
4 aerial duels
3 tackles
2 clearances
What a player 🔥
My deep worries for Bobby's eye though!! Hope atakuwa ok come the tuesday's. PSG
Ivi top of the league...kwa kiswash ndo wapili kwenye ligi ama wa tatuThis is the best start in Premier League history for Liverpool.
5 games
5 wins
3 clean sheets
2 goals conceded
Top of the league [emoji1305]
Credit:
It gets worse every time when i see the horrible pic of Vertongen's finger in his eye!He will be okay, don't think it's serious one.
It gets worse every time when i see the horrible pic of Vertongen's finger in his eye!
Hahaa.. Nadhani huifahamu Chelsea vizuri hasa inaposhika usukani.Angalau Mutaweka Kumbukumbu Kuwa Msimu Wa 2018/19 Muliwahi Kuongoza Ligi Kwa Wiki Moja.
My deep worries for Bobby's eye though!! Hope atakuwa ok come the tuesday's. PSG
Hahaa.. Nadhani huifahamu Chelsea vizuri hasa inaposhika usukani.
Huu uchoyo nahisi aliyeanza huu mchezo mchafu ni Salah msimu uliopita ambapo Mane akaona na yeye alipize. Wangeongea wayamalize na kama uongozi hautachukua hatua sahihi tutapoteza tu hizi Big games, and of Course Chelsea wanaweza wakatupiga kama hawa jamaa hawatapatana
Kwan walioanza kushinda mataji walikuaje.? Acha pumba kijanaSarri:
Kocha ambae hajashinda kikombe chochote
Wala ligi yoyote
Wala nchi yoyote
Wala mashindano yoyote
Leo hii ndio unaleta pumba hapa mtabeba ndoo
Labda ya maji
Kwan walioanza kushinda mataji walikuaje.? Acha pumba kijana