Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Dah totenhum wanatakiwa wapangiwe kikosi nondo kuliko kitakacho cheza na PSG maana naamin PSG sio tishio kama Walivyo TOTENHUM
Hendo asianze maana Dembele huwa anamficha sanaa so aanze keita na MILNER na GINIKwa mfano kikosi gani?
Lucas Paqueta the kid is sensational but i don't think kama liverpool wata bid considering his realese clause halafu his experience in europe and how liverpool transfer activities are being done these days under Michael Edwards
Do u blieve that Mwl ndio huwa anashusha tempo au our opponents wanatusoma our style of play tu ivyo kila opponent ajae anajua aje vipi?Kama umemuangalia Klopp recently, tempo ya game yetu ina slow. Na anafanya maksud ili kupunguza fatigue kwa wachezaji.
Hendo asianze maana Dembele huwa anamficha sanaa so aanze keita na MILNER na GINI
Mbele mane,salah,boby
Nyuma TAA,VIRGIL,GOMEZ,ROBO
Tatizo anaanza kuwa chini ya John kwanza naye asije akaharibiwaJack Robinson gonna be our goalkeeping coach??????
Ha ha ha ha ha! I Can smell the end of John Achterberg...
This man coached David de Gea & Edwin van der Sar alipokuwa Manure.
Best news I've heard in all Fvcking Decade....
Mkuu nafikiri Big games zetu tunabadilika sana regardless performance yetu ya wakati husika.Hahaha, mkuu wakati mwingine jukwaa kama hili linanoga kwa kukumbushana na kujadili issue kama hizo, umemtaja Heskey nikamkubuka Titi Camara, jamaa wa visigino.
Spurs wananipa wasiwasi sana, hasa nikiangalia tulivyoyumba kwenye Mid game 2 za mwisho, na Fabinho ndo sijamwona akitia maguu.
Kesho kuna press, nina hamu ya kumsikia Klopp.
£40m. hii price kwa Michael Edwards kwa huyu dogo ni over the odds considering his european experiencewhat is his Release Clause bro?
Hujaona kama our style of play imebadilikaDo u blieve that Mwl ndio huwa anashusha tempo au our opponents wanatusoma our style of play tu ivyo kila opponent ajae anajua aje vipi?
Wakati yupo Brazil na anakwenda Real Madrid alikuwa ana cheza nafasi ya RBWakuu fabinho ni kiraka niliangalia game ya brazil na USA alichezeshwa RB
Suarez ndiyo namba ONE mtu wa mbele kama yy lkn collectively hawa watatu wanacheza kitimu zaidiSuarez was better than Torres. Yule angekuwa mtulivu akapata kocha kama Jurgen tungekuwa hatari sana. Yule ni fighter. Nina uhakika Suarez angebaki Liverpool tukajenga the team around him angebeba Balon d or. He was a beast.
Suarez ndiyo namba ONE mtu wa mbele kama yy lkn collectively hawa watatu wanacheza kitimu zaidi
Torres hata NUSU hafiki kwa Suarez,hata nusu
Mkuu mi nimekuuliza swali ikiwa na maana nimeona icho unachouliza sasa nimekuuliza kipi kisababishi iko kinachoonekanaHujaona kama our style of play imebadilika
What about "SAS"?Kwa mawazo yangu
Toka mfumo wa EPL uanze
3 frontmen Salah,Mane na Firmino ndiyo bora zaidi