Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Liverpool ni Mara ya kwanza kushinda mfululizo game zote nne za ligi.
Mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka 1991.
Edit post.. "Game zote nne za ligi" au "Game zote nne za mwanzo za ligi?"
Hahaha naona hujiamini kabisa.
Liverpool haijawai kubeba EPL.wkt liverpool inachukua epl mara 18,Uefa mara 5.chelsea ilikua wapi?
Liverpool haijawai kubeba EPL.
jibu swali mlikua wapi wkt liverpool inabeba vikombe mpk ikafikisha 18? na mpk ikafikisha Ucl 5?Liverpool haijawai kubeba EPL.
kwa hio ilibeba kombe la ligi kuu ya Tanzania Vpl? au ilibeba kombe la ligi kuu ya ujerumani, bundesliga au?Liverpool haijawai kubeba EPL.
11 to be precise Kop.chaliifrancisco Hata Mimi Nilitaka Kumkumbusha Kuwa Atofautishe Kati ya Kushinda Mechi 4 za EPL za Mwanzo Mfulilizo Na Kushinda Mechi 4 mfululizo za EPL Kwani Hata Brendan Rogers Msimu Wa 2013/14 Alishinda Michezo 10 ya EPL mfulilizo.
Msibishane na watu wasioelewa wanaongea nini. Mtaumiza vichwa burekwa hio ilibeba kombe la ligi kuu ya Tanzania Vpl? au ilibeba kombe la ligi kuu ya ujerumani, bundesliga au?
Leo hutaki Tena UCLMimi Hata Sihusiki Na Misunderstanding Zenu.
Hapo nilichopoint ni Kuwa Tufocus Kwenye EPL na wala Sijaclaim Kuwa We will Win EPL.
Have a good luck
Ndio mkuu hapo nilikosea kidogo.Ni Kweli Liverpool Haijawahi Kubeba Jina Linaloitwa EPL lakini imewahi Kubeba Kombe la Ligi Ya Uengereza Mara 18.
Mpira Ndani Ya Uengereza Haujaanza Mwaka 1992.
Ni Sawa Na Kusema Chelsea Haijawahi Kubeba Carabao Kwasababu Crabao imeanzishwa Msimu Uliopita.
Ligi Ni Hile hile Bali imebadilishwa Jina tu.
Mimi Hata Sihusiki Na Misunderstanding Zenu.
Hapo nilichopoint ni Kuwa Tufocus Kwenye EPL na wala Sijaclaim Kuwa We will Win EPL.
Have a good luck
Liverpool haijawahi kubeba tangu ilipoitwa EPL.jibu swali mlikua wapi wkt liverpool inabeba vikombe mpk ikafikisha 18? na mpk ikafikisha Ucl 5?
sasa imewahi kubeba nini?
kwa hio ku change jina tu ndio linakuchanganya ?ligi si ni ile ile? na timu ni zile zile za uingereza?Liverpool haijawahi kubeba tangu ilipoitwa EPL.
Division league one, two... ilibeba mkuu.
Sasa mimi naclaim kuwa Chelsea inashinda ligi msimu huu.
See the difference yet??!
Man utd, Arsenal, na Tottenham hawawezi kusema hivyo.Huo Ni Mtazamo Wako tu Na Wala Sikukosoi Kwani Hata Washabiki Wa Arsenal, Man United, Man City na Spurs Wakiulizwa Watasema Wanabeba Ubingwa.
Mimi Nasubiri Muda Sahihi Ufike Wakuonesha Nani Yupo Katika Position Ya Kubeba Ubingwa Ndiyo Nitasema.
Shaqir kacheza vyema sana leo dhidi ya Iceland,kacheza vyema mno
6-0 na yy kapiga bao zuri sana
Ilikua ligi ya chato au kolomije au vingunguti ? Je yale makombe yamefutwa ?? Common SenseLiverpool haijawahi kubeba tangu ilipoitwa EPL.
Division league one, two... ilibeba mkuu.
Mkuu kuna watu kubishana nao unajipotezea rasilimali mudaNi Kweli Liverpool Haijawahi Kubeba Jina Linaloitwa EPL lakini imewahi Kubeba Kombe la Ligi Ya Uengereza Mara 18.
Mpira Ndani Ya Uengereza Haujaanza Mwaka 1992.
Ni Sawa Na Kusema Chelsea Haijawahi Kubeba Carabao Kwasababu Crabao imeanzishwa Msimu Uliopita.
Ligi Ni Hile hile Bali imebadilishwa Jina tu.