Henderson Ni Mchezaji Mwenye Backup Kubwa than any other scouser.. That is why Hata kwenye game vs BHA Echo wamemrate higher Hendo Kuliko Mane, Keita na TAA.. Wamemrate 7 sawa na AB13, Robo, VVD, Milliy, Bobby, Gomez na Salah.
Hii wanaonesha ingawa Muda aloingia Ni mdogo lakini Kwa Mtanzamo wao he Dido more work Kuliko aliowakuta Uwanjani.
So, Kumdrop Huyu kunahitaji technique zaidi Kuliko Muda... One technique that I see in my eyes now practiced by Klopp Ni Kumfanya Squad player as a Backup Mid jambo ambalo litamfanya awe Frustrated na Kumuondoshea Confidence...
Then hapo atakuwa totally a Benchwarmer..
Sasahivi Nimemuelewa Klopp pale ninapoangalia PC - K8 & Can - Fabiy nabelieve Kuwa Klopp before losing a Player huwa ameshafocus kwenye Kugain Player Mwengine with the same or near his Caliber.
So, naamini Klopp tayari ameshamsoma Mane Kuwa Delay hii ya Contract extension Ni Kwamba Sade Mane atasaini au Hatosaini! So, tayari as a Klopp amesha focus somewhere to make sure he will not lose for nothing.
inaonekana next summer, we will go big on Pulisic.
sasa sijui ni nani ataondoka Aisee..
i like Mane, but we need to remember kuwa katika clubs zake zote alizochezea aliondoka kwa kuforce move na kuleta usumbufu mkubwa, so wont be suprised if akiforce move ya kwenda Madrid.
having said that, naombea sana asiondoke, he's very important kwenye team yake. naweza nikawa tofauti na watu wengine, but ukiniambia nichague kati ya Salah na Mane, nitamchagua Mane. not because ni better than Salah, but ni kwasababu yeye na Firmino ni most important players kwenye mfumo wetu. ndiyo maana unaona Klopp hajamwachia Firmino hata nafasi ya kupumua japokuwa hakuwepo kwenye games karibia zote za pre season.
VVD is a Red heart & soul. akiondoka pale si kwa utashi wake...MosDef With Pique and Ramos careers coming to an end soon, I can see Barca and Madrid tabling £££m for VVD soon. We will have to win big trophies to be able to keep him. We’ve proved to be a selling club to the likes of Barca and Real. If a right offer came along I think our American owners would consider it.
Liver level nyingine mkuuLiverpool next month msituangushe jamani.
Kama man united, mwezi huu hawajatuangusha kabisa.
Hivyo nanyinyi hakikisheni mnafata nyayo za manure.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeeLiverpool next month msituangushe jamani.
Kama man united, mwezi huu hawajatuangusha kabisa.
Hivyo nanyinyi hakikisheni mnafata nyayo za manure.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Level hazijapishana sana na man united..Liver level nyingine mkuu
Mane was so poor siku ile...
and Firmino bado hajarudi kwenye his fitness level
i think ni Salah tu ndiyo alikuwa anajitahidi kumake things happen (klopp atakuwa alimkalisha kitako)
Robertson was poor too, hence movements zilikuwa ndogo sana upfront.
Fekir angekuwa ni PC replacement, but game play yao ni tofauti kabisa, PC is more of a winger, (creating from wide areas), to complement PC unahitaji mfumo wa 442, mfumo ambao Klopp hatumii, hence he decided to move Coutinho katikati, na kumchezesha Lallana wide. Fekir anaoffer vyote hivyo, he's a complete playmaker. we need a creator who can force the ball through the middle, kwasababu tayari tuna fullbacks ambazo wana uwezo wa kucreate chances kutokea pembeni, Hughton managed to shut down Robertson completely na ndiyo maana left side yote ilikufa (Mane and Keita struggled a lot), Klopp knew this, na kwasababu hatuna a primary creator na bado anajaribu kumuonesha Shaqiri jinsi tunavyocheza, akamuingiza Henderson (subbed off Keita) ili kwenda kuretain possession na kucontrol the the midfield using triangle passes, at this point Klopp alishajua kuwa Hughton kamuweza na akaona the safety way ni kulinda midfield area ili kuzuia kabisa Counters za Brighton, naweza sema kuwa alifanikiwa kwa hilo.
The only thing ambacho kinamu-hold Fekir back ni his knee history, but he's a very complete player.
agree on the last part.
wale ni Man United.Liverpool next month msituangushe jamani.
Kama man united, mwezi huu hawajatuangusha kabisa.
Hivyo nanyinyi hakikisheni mnafata nyayo za manure.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mkuu ukiangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ni kma hakuna tofauti sana ya man united na Liverpool.wale ni Man United.
sisi ni men united.
ndiyo tofauti iliyopo.
sawa.Lakini mkuu ukiangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ni kma hakuna tofauti sana ya man united na Liverpool.
Mifano ipo mingi tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app