Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Vipi zile goli tano imekuwaje tena? Au leo mmepanga kikosi cha pili?
Mkuu angalia tu man city walivyo na kikosi kipana lakini kaumia tu KDB leo wametikiswa haswa. Sasa wewe mwenye festi XI tu akiumia beki kama VVD au kiungo kama Keita au Salah unategemea Liverpool itakuwaje? Ci mtapoteana hapa jukwaani? Maana saivi mmekuwa wengi gafla.!
Ndo maana nakwambia Liverpool bado ni timu dhaifu sana, japo msimu huu mmejitahidi kuanza ligi vizuri.
#SeptemberIsComing..
Sent using Jamii Forums mobile app
Falsafa ya Sarri ni kushinda tu.
Kumbuka kila kocha mpya anayekuja Chelsea msimu wa kwanza lazima abebe kombe...
Sent using Jamii Forums mobile app
#SeptemberIsComing...Unaendelea kubadirisha lugha zako kila weekend!Tumepiga watatu bila kufungwa so far!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko anapanga mashambulizi ya namna gani leo tutamtaabisha aliyekuwa kocha wa Liverpool japo sio kwa mafanikio sana bwana Rafa Benitez ..ambaye pia alifanikiwa kuifunza "The giant club Chelsea TheBlues" kwa mafanikio makubwa tu.eden kimario sijamwona kwenye huu uzi toka jana, maana naye alipiga ramli sana za droo.
Shuhudia leo Nu kastle anakufa tatu mkuu. Sisi hatushindi moja bila kama wewe[emoji3] [emoji3]#NewcastleIsComing....
Yuko anapanga mashambulizi ya namna gani leo tutamtaabisha aliyekuwa kocha wa Liverpool japo sio kwa mafanikio sana bwana Rafa Benitez ..ambaye pia alifanikiwa kuifunza "The giant club Chelsea TheBlues" kwa mafanikio makubwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shuhudia leo Nu kastle anakufa tatu mkuu. Sisi hatushindi moja bila kama wewe[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
LC week ijayo!
Kwann mnapoteza muda kuwajibu watu kama hawa waliojulia mpira kupitia kubetWewe Kweli Kituko! Niwazi Kuwa umeibukia Hapo Chelsea 2015 ukaishia Kugoogle tu baadhi ya Matukio.
Hivi Benitez Hapo Chelsea Kapata Mafanikio Kuzidi Liverpool alikobeba CL?