Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Karius alipewa chance na Klopp mara mbili if your memory serves you well na Klopp had his back even when all koppites were against Karius. Mwisho wa siku reality caught up with Karius. Sasa hadi hapo sijui unataka Klopp afanye nini. Kwa mtazamo wako basi hadi leo center backs wetu wangebaki kuwa Skirtel na Kolo Toure
 
Bado Brighton waifanye kazi yao baadae
Tutaheshimiana tu

E&K

Ni bora tu uwe Neutral Kwa Leo na Wala usikalie Ukungwi Kuwa BHA watamfunga Liverpool FC ili baada ya Mchezo usijeukimbia huu Uzi badala Yake uje na Usema "Nilijua tu Kuwa BHA watafungwa".

Halafu Hivi umeshajiangalia Kuwa Kesho Una Kisiki Cha Mpingo Rafa Benitez tena ugenini?
Nakuhakikishia Umepona basi utaambulia Sare.
 
Game played is almost 2 times than Karlius.
Game saved, penalties .Tarakimu ziko wazi. Mzee hukusoma tarakimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] mi sitaki Brighton wakufunge hata sare tu inatosha

E&K
 
[emoji3] [emoji3] mi sitaki Brighton wakufunge hata sare tu inatosha

E&K

Mimi Nilidhani Utaomba Nisimfunge Nyingi Bali Nimpige Kama 3 tu zinatosha!! Kumbe wewe unataka Nitowe Sare??
Hilo haliwezekani Mkuu! Nitamuachia 4 zake akapumulie Kwa Manure kule.
 
Mimi Nilidhani Utaomba Nisimfunge Nyingi Bali Nimpige Kama 3 tu zinatosha!! Kumbe wewe unataka Nitowe Sare??
Hilo haliwezekani Mkuu! Nitamuachia 4 zake akapumulie Kwa Manure kule.
Haya maneno usije kuyakanusha baadae
Leo ni siku ya mbio za sakafuni huishia ukingoni

E&K
 
Haya maneno usije kuyakanusha baadae
Leo ni siku ya mbio za sakafuni huishia ukingoni

E&K

Naona leo siku nzima umepiga kambi hapa. Kule kwenu uzi mzima leo ulikuwa peke yako na comment ya mwisho ilikuwa yako toka saa 4 asubuhi na hakuna watu.
Anyways, karibu sana hapa The Kop
 
Naona leo siku nzima umepiga kambi hapa. Kule kwenu uzi mzima leo ulikuwa peke yako na comment ya mwisho ilikuwa yako toka saa 4 asubuhi na hakuna watu.
Anyways, karibu sana hapa The Kop

Wameingia Mafichoni Kabisa Kwasababu Wanajua Wazi Kuwa Kesho Hawachomoki Kwa Newcastle Kwani Benitez Ni Mtu Mbaya Zaidi Kwa Chelsea tokea yupo Liverpool.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…