Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo Roma[emoji3] [emoji3] kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mihemko mkuu ..izo takwimu zinaweza kubadilika mkuu ...Liverpool akawa na BP 37% na Briton akawa na 63% ..hii game ya leo sio rahisi kihivyo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa bro tuko pamoja ..ila leo nitakuwa Briton City.[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtoa keita kumueka jordan henderson/lallana/fabinho.Depth unamaanisha Kumtoa Keita ukamwingiza Lallana au sijakuelewa?
Allison alifungwa hayo magoli na washambuliaji hataru zaidi uerope.halikua kosa lakeKumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo Roma[emoji3] [emoji3] kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia timu alizofundisha Sarri na wachezaji alokuwa nao ..pia angalia timu pia kwa Klopp ..Although Klopp ni kocha mzuri pengine kuliko Sarri ...lakini haimanishi kuwa Sarri hatabadilisha history yake. Alipoitoa Napoli na alipoifikisha ni pazuri sana. Hivyo hivyo alivyofanya Klopp.Nadhani Umesahau Kuwa Jürgen Klopp amebeba Bundes Liga 2 alipokuwa Dortmund.
Na vilevile Hukumbuki Kuwa Sarri sasa ana Umri Wa Miaka 67 akiwa Hajawahi Kubeba Kikombe Cha Aina Yoyote Katika Maisha Yake Yote Aliyofundisha Mpira.
Kepa alifungwa kutokana na timu yake ya zamani A.Bilbao haikuwa na defence nzuri na pia Barca ilikuwa vizuri mbele ivyo bado haiondoi ubora wake mkuu.Hata Kepa Arrizabalaga alikula 5 na Barca
Angalia timu alizofundisha Sarri na wachezaji alokuwa nao ..pia angalia timu pia kwa Klopp ..Although Klopp ni kocha mzuri pengine kuliko Sarri ...lakini haimanishi kuwa Sarri hatabadilisha history yake. Alipoitoa Napoli na alipoifikisha ni pazuri sana. Hivyo hivyo alivyofanya Klopp.
Lakini huu unaweza kuwa msimu mzuri kwa Sarri ...pia kumbuka England kuna options nying za makombe kuliko italy, lakini Klopp hajabeba hata moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia usisahau atakuwa kocha bora wa EPL..Atakuwa kocha bora wa kuvuta sigara
Hata hivyo ni mapema sana kusema hivyo kwa sababu kwanza wote ndo wameingia EPL msimu huu ..hata hivyo hakukuwa na haja ya kumnunua Uyu Allison wakati Klopp anasifika kwa kuwajenga wachezaji. Sasa kwann alishindwa kumjengea komfidensi ya kutosha Karius? akakimbilia kumnunua kipa mwingine kwa gharama kubwa tu!Lakini huwemfananisha na Arrizabalaga
Tukutane Anfield Mzee.Sio mihemko mkuu ..izo takwimu zinaweza kubadilika mkuu ...Liverpool akawa na BP 37% na Briton akawa na 63% ..hii game ya leo sio rahisi kihivyo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo ni mapema sana kusema hivyo kwa sababu kwanza wote ndo wameingia EPL msimu huu ..hata hivyo hakukuwa na haja ya kumnunua Uyu Allison wakati Klopp anasifika kwa kuwajenga wachezaji. Sasa kwann alishindwa kumjengea komfidensi ya kutosha Karius? akakimbilia kumnunua kipa mwingine kwa gharama kubwa tu!
Ukiangalia takwimu tu ndgo kati ya Allison na Karius hawajapishana sana, hivyo hakukuwa na haja ya kumnunua huyu Allison. Klopp angeweza kumjenga tu Karius na kumwaminisha kwa nyie mashabiki.
View attachment 846668
Sent using Jamii Forums mobile app