mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,957
Ile sasa ndio ilikuwa Liverpool ... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jokingLiverpool kwasasa timu ipo.. Unaangalia mpira roho na moyo unasuuzika..
Si kama misimu miwili nyuma eti forward Benteke, huku Ibe kule Origi na beki eti Kolo Toure...
Mkuu nikupe hongera ya kushinda umepambana sana. Naskia mlisema mtashinda tano; ziko wap? Au Salah aligoma kufunga?Ollachuga Oc usishangae ndiyo Liverpool hii!
Ulisema Westham Mbovu, Hii Palace he nayo pia Mbovu?
Mechi Ndiyo Kabisa Tunakukatisha tamaa Manake tunacheza na Kibonde tena Anfield.
Tulia hivyo hivyo tukutane mwisho wa msimu chief. Unataka tumtegemee Lukaku atufungie magoli yetu na sio Salah au Mane?Mkuu nikupe hongera ya kushinda umepambana sana. Naskia mlisema mtashinda tano; ziko wap? Au Salah aligoma kufunga?
Yani wewe kikosi chako wakikosekana watu wawili basi hapo ushindi hakuna, kwa hill usibishe mkuu. Bila uwepo wa Salah au/na Mane basi ushindi kwako utasikia kwetu tu ..Klopp kajenga festi XI tu bado anahitaji kuongeza namba ya players wenye Kariba ya akina Salah ili akiandamwa na jini la majeruhi basi awe na pullback ya kutosha.
Kama mtaendelea kutegemea ushindi kutoka kwa salah au Mane basi mna khali mbaya sana. Maana hakuna wafungaji wengine zaid ya hao wawili.
Usiseme kuna stutrrdge, au sub ya Salah ndo Lalana? Hahaha basi kama ni hivyo ubingwa kwako utakuwa ni ndoto tu.
Wewe bado una safari ndefu sana mpk kombe kuingia mjini Liverpool labda klopp haondoke. Wewe utaendelea kutoa ushindani tu kwenye ligi maana huna "kikosi cha kupigania ubingwa" na huu ndo ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo mmecheza mechi nyepesi sana ingawa hii ya pili mmeonyesha udhaifu mkubwa tu ..Tulia hivyo hivyo tukutane mwisho wa msimu chief. Unataka tumtegemee Lukaku atufungie magoli yetu na sio Salah au Mane?
Hiyo inawezekana kweli?? Usitupangie expectations zetu. Acha tuendelee kumtegemea Salah na Mane hivi hivi. Wewe endelea kupambana na hali yako kwenye team yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na msipo ondoa utegemezi wa Mane na Salah basi mtapata tabu saana.Tulia hivyo hivyo tukutane mwisho wa msimu chief. Unataka tumtegemee Lukaku atufungie magoli yetu na sio Salah au Mane?
Hiyo inawezekana kweli?? Usitupangie expectations zetu. Acha tuendelee kumtegemea Salah na Mane hivi hivi. Wewe endelea kupambana na hali yako kwenye team yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo leo tulikua hatuko form, hatukucheza ule mpira wetu. Historia pia inaonyesha game yetu vs Palace inakuwaga ngumu kwetu lakini tumepata matokeo chanya.Hata hivyo mmecheza mechi nyepesi sana ingawa hii ya pili mmeonyesha udhaifu mkubwa tu ..
Enewei bado tunaendelea na ligi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira wenu upi? Unadhani kuna mpira zaid ya huo mliocheza leo? Liverpool mkikutana na winga zenye kasi basi Keita na uyo VVD wenu watakuwa na kazi kubwa ya kufanya.Kidogo leo tulikua hatuko form, hatukucheza ule mpira wetu. Historia pia inaonyesha game yetu vs Palace inakuwaga ngumu kwetu lakini tumepata matokeo chanya.
Winning ugly sometimes ni kitu kizuri. Haijalishi tumecheza vipi lakini kama mwisho wa siku tumeondoka na point tatu. Well hakuna tatizo, tutajitathmini na kupambana vizuri zaidi mechi inayokuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wapinzani bwana, ina maana hujui brand yetu ya soka safi la pasi nyingi na high intesity na goli nyingi?Mpira wenu upi? Unadhani kuna mpira zaid ya huo mliocheza leo? Liverpool mkikutana na winga zenye kasi basi Keita na uyo VVD wenu watakuwa na kazi kubwa ya kufanya.
Kipimo chenu ni September mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba utaje wings zenye kasi katika EPL.Mpira wenu upi? Unadhani kuna mpira zaid ya huo mliocheza leo? Liverpool mkikutana na winga zenye kasi basi Keita na uyo VVD wenu watakuwa na kazi kubwa ya kufanya.
Kipimo chenu ni September mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee wa kelele nyingi siku ya mechi anakimbia. Plastic fan huyuMalafyale upo wapi?
Hawa CP wangekua na mtu kama Samatta ingekua habari nyingine pale Selhust park. Huyu Benteke hata mabeki hawamuogopi. Ngojeni mkutane na Morata.
Ila kikubwa hongereni majogoo
Sent using Jamii Forums mobile app