Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mo Salah kafanya short dribbles, akawa anajikuta zinampunguzia speed, nadhani ile ange-dribble ndefu jamaa angemkuta kwenye 18.
Ambapo ingekua penalty.
Hata hivyo Mo is only 67% of last year's potential.
Gomez anaanza kunishawishi kwamba kwa nafasi ile ndio amefika aisee....ila Trent hii ni mechi ya pili klosi zake nyingi anazipoteza...Klopp na his coaching department naamini wataliangalia hili maana kwa hawa wakupaki basi tunahitaji mabeki wa pembeni wapiga klosi za uhakika na pia wanaopiga kona inabidi nao waangaliwe upya...YNWA
Hongereni wakuu..ingekuwa man u yetu ya Mourinho tungelala kama jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Leo Nikwamba Salah Kawa Targeted Sana na Mabeki Hasa yule aliyekula Umeme.
Halafu nishaona dalili Kuwa huu Ni Msimu Wa Sad10 Kuwa Main Man.
Gomez ame improve baada ya kucheza na VVD. Siunajua jamaa ni kiranja alafu hana kitete kama akina Matip na Lovren.Gomez iwapo ataendeleza Consistency hii aliyonayo na atasalimika injury za Mara Kwa Mara basi Ni Bonge la Partner Wa VVD na watatengeza Ukuta tishio.
Gomez dah unaweza kufikiri ni New sign ..........Yule Allison hahahaha
Exactly, baada ya Sadio Mane kufanya yake leo kuna watu nilikuwa naangalia nao game nikawaambia hii kitu.
Attention iko kwa Salah, na Sadio Mane hafanyi zile kazi za kurudi nyuma kutafuta mpira kumlisha Salah, Keita ana rahisisha maisha yao wore.
Mtu ninaye mwona kuwa na wakati mgumu ni Firmino.
HahahaHaki ya Nani Hata Mimi King Ngwaba iwapo nitacheza Beki pamoja na VVD basi Hata Barcelona nitafiti.
Yani Jamaa ukitoa Ubeki basi Kawa Mlezi hasa Kwa Gomez!!
Anampa Maelekezo Dakika 90 nzima Kama Mtoto Wa Shule Namba ya Kujipanga, Kwenda mbele, Kuridi Nyuma, Kumkaba Mtu, Kusimama Katika Position n.k. Halafu unamkutia Dogo Automatically anakuwa Mkali.
Inaonesha Lile Lovren huwa Halimsikilizi VVD ndiyomana Linaboronga.
Hili la Kona umeniwahi Mkuu lakini Nilikuwa ndiyo nataka niliandike Hapa! Kiukweli Mpaka Sasa Toka Aondoke Coutinho hatuna Mpigaji Kona wala Set-Pieces Kwa ujumla.
Na Kuhusu TAA hili tokea alipoanza Kucheza Liverpool Ni kweli Hajui Kupiga Cross lakini Anaoffer mambo mengi zaidi Katika Kuattack.
Na Kinachomfanya asiweze Kupiga cross Ni kwamba Hajui Kudrible.. Lakini Siku atakayoweza Kudribe vizuri basi atakuwa Ni Full Back aliyekamilika.
Gomez sasahivi Kawa Compelete Centre Back wala simtilii Mashaka
Sadio anafunga bao nyingi sasa sababu upande wake yupo Keita ambaye ana facilitate mipira migumu kuwa mwepesiMkuu Leo Nikwamba Salah Kawa Targeted Sana na Mabeki Hasa yule aliyekula Umeme.
Halafu nishaona dalili Kuwa huu Ni Msimu Wa Sad10 Kuwa Main Man.