Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

sijui na ufupi nao unachangia anakua hana hatua kama za Mane
 
Wakuu ingawa ndiyokwanza inamalizika hii mechi eti sipaswi Kusema Tumecheza Leo Bali Niseme Tumecheza Jana?
 
Dua yako imekubalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gini Ni Outstanding Player since the end of last season..
Gomez anaanza kunishawishi kwamba kwa nafasi ile ndio amefika aisee....ila Trent hii ni mechi ya pili klosi zake nyingi anazipoteza...Klopp na his coaching department naamini wataliangalia hili maana kwa hawa wakupaki basi tunahitaji mabeki wa pembeni wapiga klosi za uhakika na pia wanaopiga kona inabidi nao waangaliwe upya...YNWA
 
Rogers Yani Sitomsamehe Kwa Mechi hile Ya Chelsea! Tulihitaji Sare tu tufurahi Yeye Akijifanya Kuaproach Game utadhani tunataka Kuescape Kwenye Relegation zone!!!!!

Mimi mpaka leo likitajwa jina la Rodgers, naikumbuka ile game.

1 point was enough.
 
sijui na ufupi nao unachangia anakua hana hatua kama za Mane

Mkuu sio Ufupi!! Messi Ni Mfupi zaidi kuliko Salah lakini Kama mule Himkapati jinsi anavyotiririka!!
No Salah Kimaumbile Ni Mzito Wa Kukimbia Kama vile Pogba hawa wanakuwa Ni watu Maalum Katika Jamii Hawana Mbio..

Lakini angelikuwa ana mbio Mo Salah basi zile Kaunta zote 2 angeligunga Kabla ya Mabeki Kumfika Kwani alikuwa Kawaacha Nyuma.
 
Mechi zajumatatu zinakuwaga ngumu na zinamatokweo ya ajabu


nshukur Kwa matokeo haya
 

Hili la Kona umeniwahi Mkuu lakini Nilikuwa ndiyo nataka niliandike Hapa! Kiukweli Mpaka Sasa Toka Aondoke Coutinho hatuna Mpigaji Kona wala Set-Pieces Kwa ujumla.

Na Kuhusu TAA hili tokea alipoanza Kucheza Liverpool Ni kweli Hajui Kupiga Cross lakini Anaoffer mambo mengi zaidi Katika Kuattack.

Na Kinachomfanya asiweze Kupiga cross Ni kwamba Hajui Kudrible.. Lakini Siku atakayoweza Kudribe vizuri basi atakuwa Ni Full Back aliyekamilika.
 

Mo Salah kafanya short dribbles, akawa anajikuta zinampunguzia speed, nadhani ile ange-dribble ndefu jamaa angemkuta kwenye 18.

Ambapo ingekua penalty.

Hata hivyo Mo is only 67% of last year's potential.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…