Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
hahaha....noma!!Gomez: You have to play each game like it's your last
1) Robertson alipata Nafasi Baada Ya Kuumia Moreno.
2) TAA alipata Nafasi Baada Ya Kuumia Clyne.
3) Ni wazi sasa Gomez anaitaka Nafasi Baada ya Kuumwa Kwa Lovren.
Kwasasa Liverpool Kuna Baadhi Ya Positions Ukiumia tu Ni Kosa manake Mara Hurudi Tena First XI.
...wewe usiye msindikizaji lete rekodi yako, anzia hapo hapo 2005 !Mwisho wako wa kutamba ilikuwa 2005 bisha tena
Mpaka leo ni msindikizaji tu
Huyu ndezi wa kichaga eden kimario anaropoka tu anafikiri mpira ni mbege unatikisa tu na kupuliziaLiverpool mpaka sasa imekaa Miaka imeshakaa Miaka 27 bila ya Kuchukua Kombe la Ligi (EPL) na si 19.
By the way! Chelsea ilikaa Miaka 50 bila ya Kubeba Kombe la Ligi (EPL) na hatimae ikabeba 2005! Lakini Kwenye Miaka 27 ya Liverpool ndiyo unaona mengi Kiasi ya Kwamba Haitowezekana tena Kubeba Kombe?
Sasa imewezekana vipi Kwenye 50 Hata ishindwe kuwezekana Kwenye 27?
Asante king... kwa kunielewesha shukuran sana kwakoSio Kwamba Wamemchomea Mkuu!
Unajuwa iko hivi! Kulitokea Video ilisambaa Kwa Kasi (goes viral) Katika Mitandao Ya Kijamii kwa Muda mfupi ikimuonesha Mo Salah akiendesha gari huku akitumia Simu.
Sasa Kutokana Sheria Za Wenzetu Kuwa Ziko imara tofauti na Huku kwetu Kwani Huku tunapofanya Makosa Tunaikimbia Polisi, Lakini wenzetu Wanapofanya Makosa Wanakimbilia Polisi.
Ndiyo Kabla Ya Polisi Kuiona na Kutake Action dhidi ya Salah (ilikuwa Ni lazima waione).
Timu ikaamua Kuchukuwa hatua za tahadhari Mapema Hili swala Kuliripoti Polisi ili kuonesha ushirikiano na Kupisha uchunguzi (Pia Yawezekana Ni Editing tu) kama Hatua moja kumkinga Mo Salah na Kuja Kusumbuliwa na Polisi Kama Rooney msimu uliopita.
Matusi ya nini mkuu kama huwezi kuchangia kaa kimya tuHuyu ndezi wa kichaga eden kimario anaropoka tu anafikiri mpira ni mbege unatikisa tu na kupulizia View attachment 839055
Kuna watu hawajazoea ubishani wa soka, huu utani ni wa kawaida sana kwenye michezo.Matusi ya nini mkuu kama huwezi kuchangia kaa kimya tu
.....hakuna tusi hapo, mpira si mbege !Matusi ya nini mkuu kama huwezi kuchangia kaa kimya tu
Ndezi wa kichaga siyo tusi?.....hakuna tusi hapo, mpira si mbege !
....aaah ! Pole bassi !Ndezi wa kichaga siyo tusi?
Busara ni kitu cha bure mkuu, mimi siye uliyenitusi, unatakiwa kumwomba samahani jamaa siyo mimi.....aaah ! Pole bassi !
...kupitia kwako mpelekee, si una kihere here !Busara ni kitu cha bure mkuu, mimi siye uliyenitusi, unatakiwa kumwomba samahani jamaa siyo mimi.
You are ignored....kupitia kwako mpelekee, si una kihere here !
Chill out !You are ignored.
Chill.
Waloweka neno" Prediction" walifanya hivyo kuunogesha mchezo.Sio Kwamba Sijiamimi Mkuu!
Mimi siamini Utabiri! Kwahiyo Si mtu Wa Kutangaza Kushinda Game kabla sijaicheza! Ninakiamini Mimi Ni Kile Kinachotokea Baada Ya Dakika 90 au 120.
Na ndiyomana Mimi Hata Siku moja Hunikuti Kutangaza Kuchukua Kombe Kabla Ya Ligi haijaanza.
Na Ninachoamini Mimi Ni Kwamba Mtu yeyote unayemsika anasema na Kujihakikishia Kuwa Msimu huu atabeba Kombe Kwenye Timu Yake basi Huyo Hajui Mpira. Kwasababu yeye Ni sawa na Mganga Wa Kienyeji tu na Ndiyomana haangalii Kuwa Mpira Ni Mchezo Wa Mahasebu, Makosa, Uimara Wa Timu, Mbinu, Fitness na Utayari. Factor moja tu Kati ya Hizo inaweza Kukunyima Ubingwa Hata Kama Una Kikosi Bora Kiasi gani.
Mtu anaejua Mpira Maranyingi Husema Msimu huu Nina matumaini Ya Kubeba Ubingwa... Na Sio Kujihakikishia Kuwa lazima Ataubeba kama wanavyosema baadhi ya Watu utafikiria Matokeo ya Mchezoni wanayapanga wao.
Mimi Ni Mshabiki Wa Liverpool lakini Kama Mshabiki Wa Mpira basi Msimu huu Naipa Nafasi Man City ya Kubeba Ubingwa Wa EPL... Lakini Sisemi Kuwa Lazima itabeba Bali naipa nafasi tu Kutokana na Uimara Wa Timu Yao. Kwani Kama Nilivyotaja Hapo juu zipo Factors ambazo zinaweza Kumkosesha Ubingwa.
Wewe wikiend hii inaeza kuwa mbaya kwako.