.....sawa nabii eden kimarioUkitaka kujua liverpool haina tofauti na westham itazame mwisho wa msimu hawatwai taji lolote
Tumeanza vyema sana jamani!
Keita ni MNYAMA
Sasa nataka nimuone Fabihno na CP
Shaqir na Dan wapo OK
Wilj na Milner perfect
Nilivyo waona Man City ndiyo washindani wetu mwaka huu
Mkuu kumbukumbu zangu ni kama tulianza na Arsenal tukashinda 4 - 3.
Ni kweli mkuu, Arsenal ilikuwa game kama ya 3 hivi.Mkuu Hiyo ya 4 - 3 Ni Ya Mwaka Juzi ambayo Tulizifunga Timu Kubwa Zote sisipokuwa Man United.
Jaribu Kuvuta Kumbukumbu.
Game Yetu ya Ufunguzi Ya Mwaka Jana ilikuwa against Watford ambao tulikwisha Wafunga 3 - 1 wakaturejeshea Magoli Kizembe Kabisa.
bora.... hata mwezi mzima ili dogo Gomez apate game time na ikiwezekana amfanyie Lovren kile TAA alichomfanyia Clyne!!Confirmed: Lovren Nje Wiki 3 anasumbuliwa na Maumivu ya Tumbo.
...EPL wamempa huyo huyo !Wakisema nichague mchezaji bora kwa mechi ya leo. Nampatia J.Milner.
...EPL wamempa huyo huyo !Wakisema nichague mchezaji bora kwa mechi ya leo. Nampatia J.Milner.
...sawa 'maji marefu' !Wana historia mpo swala la vikombe labda klop aondoke la sivyo kwapa mtaskia kwa wengine
Watani Hongereni kuongoza ligi
Hakika mkuu muda si mrefu wataelewa kwa nini klop alitumia pesa mingi kusajili GKMsimu uliopita Tulipkuwa tuna Shit GK and shit CB mechi Yetu ya Kwanza Tulitoka Sare isiyo ya lazima ya 3 - 3 na Watford.
Mara hii tumeanza na Ushindi! Ni mwanzo Mzuri.
Kwa nadra sana mtani unaonekanaWatani Hongereni kuongoza ligi
bora.... hata mwezi mzima ili dogo Gomez apate game time na ikiwezekana amfanyie Lovren kile TAA alichomfanyia Clyne!!