OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Hahaha umeongea vizuri sana ila apo mwisho ndo umeharibu.Nimekuelewa vzr mkuu, kama ishu ni depth ya kikosi sioni atakaemzuia Man City kutetea ubingwa, msimu ukiopita tumepoteza points nyingi katika mechi dhidi ya timu zilizo nafasi za 10 kushuka chini.
Kama tungepata zile points basi tungekuwa nafasi ya pili kwa karibu sana na Man City, shida ilikuwa ni kipa,Lovren na Matip walikuwa ktk poor form,hatukuwa na defending midfielders wa kusaidia CD,upande wa attacking hatuna shida..
Angalau kwa 70% matatizo yameshughulikiwa, bado shida atakapoumia Van Dijk hana mbadala,yafaa tuongeze CD mwingine wa kiwango cha juu, upande wa kulia ni battle kati ya Clyne na T.A.A, kushoto ni Robertson na Moreno, upande wa DM Wjinaldum na milner bado wapo..
Bado naamini tunaweza kupata ubingwa kama hatutapata injuries nyingi, kutopoteza points kwa timu ndogo.Mpinzani ni Man City tu sioni kama Man u,Arsenal,Chelsea watafanya maajabu, labda Spurs coz bado ana kikosi kizuri.
Liverpool msimu huu mtacheza mpira mzuri sana, tena kuliko timu yeyote uingereza. Lakini tatizo lipo kwenye kubeba makombe. Sidhani kama mtafanikiwa kubeba kombe hata moja kutokana na approach ya kocha wenu, ambayo inafanana sana na Pochettino wa Toti. Kwa uzuri wa kikosi chenu kwa jinsi kilivyoboreshwa, ingefaa muwe na kocha kama Antonio Conte hakika angewafaa sana.
Uyo klopp kubeba kikombe chohote apo England asahau. Kama alishindwa akiwa bundersliga basi hapo England itakuwa mtihani mgumu sana kwake.
Tutakwenda kushuhudia Liverpool ikicheza mpira mzuri sana ..pengine kama Barcelona ..lakin suala la kubeba makombe itakuwa ni shughuli pevu.
Tunza hii Komenti.
Hapo patamu but Waprove kuwa hizo namba zinawafaha. Nampa hazina Tija hata avae namba 99 Kama ni bora ni bora tu.Alisson Anavaa Jezi Namba 13 na Fabinho anavaa Jezi Namba 3. Bado Wachezaji Hawa hawajapewa Official Squad numbers zao.
Hii inatokana na Wote Wawili Wanataka Namba Ambazo Tayari zinawenyewe ndani ya Kikosi Chetu.
• Fabinho anataka Namba 6 ambayo anavaa Lovren.
• Alisson anataka Namba 1 ambayo anavaa Karius.
mkuu ujeremani alibeba sana tu tena na kikosi cha kuungaunga...England ni kungumu sanaLiverpool msimu huu mtacheza mpira mzuri sana, tena kuliko timu yeyote uingereza. Lakini tatizo lipo kwenye kubeba makombe. Sidhani kama mtafanikiwa kubeba kombe hata moja kutokana na approach ya kocha wenu, ambayo inafanana sana na Pochettino wa Toti. Kwa uzuri wa kikosi chenu kwa jinsi kilivyoboreshwa, ingefaa muwe na kocha kama Antonio Conte hakika angewafaa sana.
Uyo klopp kubeba kikombe chohote apo England asahau. Kama alishindwa akiwa bundersliga basi hapo England itakuwa mtihani mgumu sana kwake.
Tutakwenda kushuhudia Liverpool ikicheza mpira mzuri sana ..pengine kama Barcelona ..lakin suala la kubeba makombe itakuwa ni shughuli pevu.
Tunza hii Komenti.
mkuu hio imekaa poa anunuliwe abaki pale aje msimu ujao kuliko kumkosa kabisa, ndogo kipaji kipoHawa Dortmund Wanataka Kutuchezea Mchezo Kama Waliotuchezea RB Leipzig Kwa Naby K8...
Christian Pulisic amebakisha Miaka 2 tu Katika Mkataba wake na Dortmund! Ikifika Next season atabakia na 1year jambo ambalo litashusha thamani na Dortmund watalazimika Kumuuza ili asiondoke bure.
Sasa iwapo Chelsea hawatamnunua mana Yake ni Kwamba Dortmund wanataka Watuuzie sasahivi ili kulinda thamani Yake halafu abakie palepale Kwa Dortmund Kama Tulivyofanyiwa Kwa K8 Mpaka Next season ndiyo atue Kwenye timu yetu.
Tottenham wanamuuza Toby
Huyu beki namkubali pale nyuma na angeanza na VVD
Sielewi why hatumchukui
Lovren ndio weakest link pale nyuma
Ningekuwa Klopp ningemchukua Musa Dembele pia