Hahahahahahahahahahahahahahahaha mpaka pre season nyie ni Bus tuTayar huko mmoja kasema washatuma salam epl kasahau kama mwaka jana klopp hii ndo aliibeba china na barcelona walimfunga 4-1 ktk hizi mechi za kupasha misuli
Ilikuwa lazima liverpool wapambane vile vikombe klopp ni vyakeHahahahahahahahahahahahahahahaha mpaka pre season nyie ni Bus tu
Na ndo maana UEFA we were in final roundTayar huko mmoja kasema washatuma salam epl kasahau kama mwaka jana klopp hii ndo aliibeba china na barcelona walimfunga 4-1 ktk hizi mechi za kupasha misuli
Halafu????Na ndo maana UEFA we were in final round
Mnaelekea kuwa school football team mpaka pre season mna park Bus hahahahahahahaIlikuwa lazima liverpool wapambane vile vikombe klopp ni vyake
Sasa tunapigania nini pale unafikir klopp asipobeba makombe ya china na icc atabeba nini?Mnaelekea kuwa school football team mpaka pre season mna park Bus hahahahahahaha
Hahahahaaa are you serious?Na ndo maana UEFA we were in final round
Tatu tayar dakika ya 80
Huyu philips anastahili kucheza badala ya Lovlen
Comacho anastahili namba kiukweli
Shaqir atasimama nafasi yake kapangwa kati leo na kacheza vyema sana
Tumetuma Salaamu zetu kuwa msimu ujao we mean business
So far so good title contenders ni wawili tu Liverpool na mancity hawa united wapambane na hali zao
Ynwa
Mkuu ebu jaribu kuwa logical aisee martial na rashford ni world top quality forwards????Tuwe tunarudi na kwenye ukweli pia, kwa sasa kwa mimi binafsi sijaona club yenye wachezaji wote waliocompetent kama Manchester United.
Man Utd wana Center forwards watatu ambao wote ni top Quality(Lukaku,Rashford na Martial) hapa timu zote kubwa duniani hakuna wa kuwafananisha nao, tukienda Beki pia hamna anaenusa vumbi(Bailly, Rojo n.k)
Defence Football ya Mourinho ndio inawafanya waonekane kama Average players
Mkuu ebu jaribu kuwa logical aisee martial na rashford ni world top quality forwards????
Bailey nae ni world center back???? 😂😂😂😂
Ramoooooos.. Acha kukumbusha watu machunguHalafu????
Hahaha hatarRamoooooos.. Acha kukumbusha watu wachungu
Ila Mungu sio Klopp jamani, imagine kufika fainal wanajisifu hizi wangechukua kombe ingekuaje.. Abarikiwe Ramos popote alipoHahaha hatar
umeangalia mech zote za united fred ni first 11 Kacheza lini?Mourinho first in for his press conference.
"We started the game with a lot of players who will not be in our squad on August 9. This is not my squad, not even half, not even 30% of my squad. So don't look to this."
Bailly, Herrera, Scott, Mata, Sanchez, Fred???? Yani Jose hana Tofauti na Washabiki Wa Timu Yake