Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



Unamaanisha Tuige Falsafa za Chelsea za Kucheza Uropa au?
 


Tuna Kikosi Ambacho upo uwezekano Wa Kushinda Trophy Hata kama Micky Mouse Lakini on one Condition! "Tusipate injury ya More than 2 weeks Kwa Kwa [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG], GK, Firmino au Mo Salah".

Ikitokea Mmoja tu Kati ya Hao akipata injury ya Zaidi ya Wiki 2 mbali basi Tujiandae Kisaikolojia Kucheza Uropa with Trophyless season Kwani Kwa 100% Hatuna Depth ya Kuziba Nafasi za Hao.

Kumbuka Mbadala Wa Hawa ni:

GK (Alisson) → Karius
VVD → Klavan
Firmini → Solanke
Mo Salah → Shaqiri
 
Matip rasmi anarudi Uengereza Baada Ya Kupata injury Huko Marekani. Soon tutasikia Kwa Lallana na Sturridge...
I bet Matip, Lallana na Sturridge watacheza Michezo isiyozidi 10 Kwa kila mmoja ndani ya Huu Msimu mzima Wa 2018/18.
Kwa hali hii Option ya CB Yetu Ni Ndogo sana kiasi ya Kwamba akiumia Mmoja tu Kati ya VVD au LOVREN basi Ni Kizaazaa.
 
I concur with your observation to a great extent ....particularly on the fact that we need another Lovren-type CB but uptop I think we're going to need more of an orthodox marksman than a 10.

why we don't need a 10? because in Keita we already have an 8 and a 10 rolled into one.
so let's land a Diego Costa-esque.
 
Katika timu zote sita kubwa za England sisi pekee ndio tumekuwaga na beki mbovu miaka nenda miaka rudi. Sijui ni kwa nini imeshindikana kuliAddress hili Suala, and besides nilisoma Article moja Forbes ikisema kuwa mwaka huu Revenue ya LFC imeshavuka pauni milioni 400, kwa maana ya kwamba wanaotupita kimapato ni timu mbili za Manchester tu. Uongozi wa klabu Wanachoweza kufanya ni kuuza wachezaji ambao sio tegemeo(Ings, Origi n.k) na kupeleka kwa mkopo wale ambao tuna pottential nao halafu tufanye usajili wa nguvu zaidi kwenye beki na Forward line maana Hela ambayo imetengenezwa mwaka huu ni kubwa kihistoria which means tunaweza kuspent zaidi na zaidi bila kujiwa juu kuhusu FFP
 
James Pearce na Maajabu Yake: "Lyon are crying out for a buyer. It suits them for Liverpool to be repeatedly linked with Fekir." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#Fekir[/HASHTAG]
 
James Pearce na Maajabu Yake: "Lyon are crying out for a buyer. It suits them for Liverpool to be repeatedly linked with Fekir." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#Fekir[/HASHTAG]
Binafsi naona kama yajayo yanafurahisha, Ngoja tuone itakavokuwa.
 
Katika Hii Preseason Ni Madogo Wawili tu Mpaka sasa Ndiyo niliwaona Tayari Wanaweza Kubaki Katika Senior Team na Kuweza Kuwa Back up players wetu.
Ni Curtis Jones na Camacho.... Waliobakia Wanaweza itabidi Watokewe Kwa Mkopo wakajifunze Zaidi.
 
About Keita Ni Miracle ya Pekee! Ame-Adapt na Mfumo Wa Klopp Hata Kabla ya Kuja Liverpool...
looks like Wachezaji Wa Bundes Liga Wana-adapt na Mfumo Wa Klopp moja Kwa moja bila ya Hata Kufanya mazoezi na Timu yetu.
 
Can't wait for Alisson to see him between milingoti mitatu ya goli...
 
Tuna Kikosi Cha hali Mbili....

1) Kikosi cha Kushindania Kombe Kwa Shart la Kuwa Wachezaji Wetu Wa FXI Wacheze Michezo yote 38 bila ya injury wala rotation. (Haitowezekana).

1) Kikosi cha Kugombania Top Four Kwani in case of injury or rotation hatuna Back up Wa Kuweza Kutupa Ushindi au Kubadilisha Mchezo. (Hili linawezekana).
 
Alitolewa mkuu ila kacheza vizuri japo kanuna mwanzo mwisho
hahahah lazima aweke uso wa Mbuzi maana maana lawama zinamwangukia yeye sana.

vp lakin sasa alipotolewa sub aliingia nan Badala yake??
 
Liverpool wamekubali mkataba wa miaka miwili
na beki wa Croatia Domagoj Vida, 29, lakini
atalazimika kununuliwa kwa bei ya Besikitas ya
£22m . (A Spor - in Turkish)
 
Liverpool wamekubali mkataba wa miaka miwili
na beki wa Croatia Domagoj Vida, 29, lakini
atalazimika kununuliwa kwa bei ya Besikitas ya
£22m . (A Spor - in Turkish)

Hii taarifa juzi niliiona pia, ila jana nimesoma sehemu kwenye Liverpool Echo kama sikosei Klopp anasema hatosajili beki yoyote dirisha hili. Hili sijui limekaaje ingawa jamaa ameshine kwenye world cup kama akipatikana sio vibaya maana wakina Matip injury zishaanza hata ligi haijaanza ingawa jamaa umri umeenda kimtindo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…