Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Habari yako mkuu pachanya. Kitambo sana sikuoni....Liver huyu kipa Karius ni bomu la kutupa..hajirekebishi sijui anapata vp nafasi ya kuanza..
Klop kakosa aibu kabisaa anampanga mwanzo mwisho ila wapiiii dahKumueka Golini Karius Ni Bora Uchomeke Jiti tu Pale golini huenda Mpira ukagonga hilo jiti. Period
Na kama anampenda sana vile kamtoa kwao basi mtupe b hukoLoris Karius on Instagram: "To those who take joy in seeing other people fail or suffer, I feel for you. Whatever it is that's happening in your life to hold this much anger and hate, I pray that it passes and good things come to you." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG]
Kwakweli Mashambulizi Anayotupiwa Karius Katika Walls Waze Za Instagram na Twitter inatia Huruma! Jamaa anajitahidi Kustahamili Lakini Kashindwa na Kaona Bora Ajibu.
Njia Pekee Ya Kumrudishia Karius Confidence Yake Ni Kumtoa Kwa Mkopo Tena Nje Ya Uengereza may be Spain, Italy or Germany.
Klop kakosa aibu kabisaa anampanga mwanzo mwisho ila wapiiii dah
Hivi glujic kesha mtoa tena jana sijamuona?
Nashindwa kuelewa tunanunua makinda wa nini na hatuwatumii?
Daah salama Ndugu yangu..naona Ronaldo kaja kule kwetu Serie A ligi yetu soon itarudi kwenye chart.Habari yako mkuu pachanya. Kitambo sana sikuoni....
Dah Liverpool mnatia huruma sana. Hivi mlifikaje final uefa?! Msimu ujao mtadhubutu kuingia hata 16 bora kweli? Angalia kama leo mmecheza nini sasa.
Uyo Klopp ana bahati mbaya sana. Sidhani kama atafanikiwa kubeba kombe lolote akiwa na Liverpool. Jaribuni kutumia falsafa za timu kama Chelsea, labda mtafanikiwa. Klopp hajiamini kabisa!
......wa wapi wewe !?Dah Liverpool mnatia huruma sana. Hivi mlifikaje final uefa?! Msimu ujao mtadhubutu kuingia hata 16 bora kweli? Angalia kama leo mmecheza nini sasa.
Uyo Klopp ana bahati mbaya sana. Sidhani kama atafanikiwa kubeba kombe lolote akiwa na Liverpool. Jaribuni kutumia falsafa za timu kama Chelsea, labda mtafanikiwa. Klopp hajiamini kabisa!
.....hili zee la nini ?Liverpool chiefs will fly out to Turkey to hold talks with Besiktas over signing Croatia centre-back Domagoj Vida in a £27m deal.
Source: Daily Star.
Curtis si ni Midfielder ?
Nataman Klopp aendelee kutumia almost 4 games za pre season bila ile (Fab three) yetu..
I wanna see us where we"ll be heading.. kama AM wetu ni lallana..
Word.theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).
EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?
no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.
having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?
Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.
kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).
Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.
Nimeona mechi moja tu ya pre season na some clips za mechi zingine, VVD ndo spine of our defense mechi ya juzi baada ya kutoka tu we had a nightmare in defense.theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).
EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?
no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.
having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?
Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.
kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).
Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.
Fact.theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).