Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
'If Pirlo plays that ball...' - Ferdinand lauds outstanding Henderson display
Rio Ferdinand just had to talk about Jordan Henderson's performance v Sweden
Alan Shearer hails Sunderland-born Liverpool star Jordan Henderson as England reach World Cup semi-final
Shearer na Rio wanasema kama Henderson ataendelea kucheza kama alivyo cheza mechi hizi hasa ya jana na Swede basi England wanaweza chukua WC
Hawa nguli wameliona hili,lkn hapa tumekariri tu majina ya wachezaji!!
Thank God anazidi kuwakata kilimi kilimi,na bado!
England Katika Makundi Kacheza na:
Tunisia → W
Panama → W
Belgium → L
England Knock Out Kacheza na:
Colombia → W
Sweden → W
Kwatimu Hizo Sishangai England Kwanini Yupo Hapo Alipo.
Kwabahati Nzuri Wakubwa Wanatoana wao Kwa Wao hatimae faida inamkuta Yeye England.
(Hata hivyo hili pia linanifurahisha na Mimi Kwani Mimi Ni Mpenzi Wa England Kindakindaki)
MkuuHiyo Ndiyo Sifa Ya Waingereza Kuwa-overrate Wachezaji Wao pamoja na Timu yao.
Kwani Jana baada ya Maguire Kufunga goli Wameshaanza Kuchapisha Papers eti "Maguire Ni Best Center Back Katika hii World Cup".
Lakini Cha ajabu Mpaka Leo Wameshindwa Kuuona Uwezo Wa Raheem Sterling na Wanamlaumu.
Mkuu
Over-rated vipi team ipo semis na Croatia anapigwa easy tu!
Hiyo sio over-rated bali ni reality
Hawa England wanaenda kuwa mabingwa wa WC
Mkuu
Over-rated vipi team ipo semis na Croatia anapigwa easy tu!
Hiyo sio over-rated bali ni reality
Hawa England wanaenda kuwa mabingwa wa WC
Hiyo aya ya mwisho "umeua"Mimi Binafsi Ni Mshabiki Wa Uiengereza na Natamani Uengereza ibebe Kombe Kuliko unavyotaka Wewe!
Lakini Njia Pekee ya England kubeba Kombe itabidi Wewe usiishangirie Kwani Utafiti wangu Unaonesha kuwa Timu yoyote unayosema itabeba ubingwa basi Huwa Haibebi.
MMEANZA kuona AIBU sasa mnakimbilia kwenye maneno!Hiyo aya ya mwisho "umeua"
Hapana mkuu wote wawili bado hawajaniprove wrong.MMEANZA kuona AIBU sasa mnakimbilia kwenye maneno!
Hendo kawapa sana aibu
Lovren kawapa aibu
Sijui mwaka huu nani atakuwa scapegoat wenu!
Mnatafuta visababu vya kitoto sana ku justify kuwakejeri wachezaji wetu!
kuna watu huwa wanaitwa "nearly men". hawa ni wale watu ambao wanafurukuta sana katika kupata mafanikio maishani lakini inapofika hatua ya mwisho kabisa ya kuyafikia mafanikio hayo huwa wanashindwa. nadhani ni kutokana na mentality ya "tumejitahidi sana hata kufikia hatua hii" - which is not a winner's mentality!Hapana mkuu wote wawili bado hawajaniprove wrong.
Liverpool ni timu kubwa hawana hadhi ya kuichezea timu yetu.
BADO WANABAHATISHA BAHATISHA TU
time will tell...dont be surprised to see H akiwa bench warmer msimu ujao...all in all he still has the chance to compete akiwa na uzi wa the Kops...amecheza fainali 2 kubwa Uefa ndogo na Uefa kubwa bila kuchukua japo si yeye tu aliechangia tukose ushindi...SG never played either WC kota final or WC semi final kwa hiyo kwenye ngazi ya Taifa Hendo ni zaidi ya SG
SG kacheza finals mbili za UCL kachukua moja kakosa moja,HENDO kacheza tayari moja na kakosa!
Many UCL finals will come,just a matter of time!!
Kwa hii team yetu nina imani kubwa Hendo atamfunika SG hapa Liverpool kama alivyo mfunika tayari WC
Time will tell!
time will tell...dont be surprised to see H akiwa bench warmer msimu ujao...all in all he still has the chance to compete akiwa na uzi wa the Kops...amecheza fainali 2 kubwa Uefa ndogo na Uefa kubwa bila kuchukua japo si yeye tu aliechangia tukose ushindi...
but for me anytym of the day il.choose SG.
YNWA
gundu analo haswaaaaa... King Gerrand sio level yake...Mkuu ilinibidi Nicheke tu na Nisireply Kwa Chochote Pale Our Greatest Captain Of All Time alipofananishwa au Hata Kunasibishwa Kuwa Ni Dhaifu Mbele Ya Hendo.
• Gerrard amebeba Europa 2001
• Gerrard amebeba UCL 2005 akiwa Kama Ni Captain aliyeoongoza Timu.
• Gerrard amebeba FA 2006 akiwa Kama Captain
• Amebeba Carling Cup (s) akiwa Captain.
• Gerrard ameiongoza Liverpool runner-up ya UCL 2007.
Halafu Leo Anafananishwa na Mtu ambaye Ni Zero Trophy tokea alipokabidhiwa Ucaptain!!!!
Heri Southgate Kajua Kama Huyu Jamaa Ni gundu ndiyomana Kama Harry Kane Unahodha.
Mkuu ilinibidi Nicheke tu na Nisireply Kwa Chochote Pale Our Greatest Captain Of All Time alipofananishwa au Hata Kunasibishwa Kuwa Ni Dhaifu Mbele Ya Hendo.
• Gerrard amebeba Europa 2001
• Gerrard amebeba UCL 2005 akiwa Kama Ni Captain aliyeoongoza Timu.
• Gerrard amebeba FA 2006 akiwa Kama Captain
• Amebeba Carling Cup (s) akiwa Captain.
• Gerrard ameiongoza Liverpool runner-up ya UCL 2007.
Halafu Leo Anafananishwa na Mtu ambaye Ni Zero Trophy tokea alipokabidhiwa Ucaptain!!!!
Heri Southgate Kajua Kama Huyu Jamaa Ni gundu ndiyomana Kama Harry Kane Unahodha.
Malafyale mara nyingine huwa anajitoa ufahamu kweli kweliHivi kweli kwa akili ya kawaida tu, umlinganishe Gerrard na mashudu kama Hendo, seriously?? Mimi hata saa hii still I would choose Gerrard over Hendo.
Captain wa kulalamikia marefa na faulo.
Malafyale kishatia gundu england kubeba ubingwa nilikuwa napenda sana jamaa wabebe ndoo ila sijui alitamba sana hapa kuhusu madrid kumpiga final mkala kepu chuma tatu jamaa anagundu huyu.Mkuu ilinibidi Nicheke tu na Nisireply Kwa Chochote Pale Our Greatest Captain Of All Time alipofananishwa au Hata Kunasibishwa Kuwa Ni Dhaifu Mbele Ya Hendo.
• Gerrard amebeba Europa 2001
• Gerrard amebeba UCL 2005 akiwa Kama Ni Captain aliyeoongoza Timu.
• Gerrard amebeba FA 2006 akiwa Kama Captain
• Amebeba Carling Cup (s) akiwa Captain.
• Gerrard ameiongoza Liverpool runner-up ya UCL 2007.
Halafu Leo Anafananishwa na Mtu ambaye Ni Zero Trophy tokea alipokabidhiwa Ucaptain!!!!
Heri Southgate Kajua Kama Huyu Jamaa Ni gundu ndiyomana Kama Harry Kane Unahodha.
SG kaongoza England WC Brazil katoka round ya kwanza,mbona hii hamuisemi?Malafyale mara nyingine huwa anajitoa ufahamu kweli kweli
UCL kucheza tu final mkakaa kimywaMalafyale kishatia gundu england kubeba ubingwa nilikuwa napenda sana jamaa wabebe ndoo ila sijui alitamba sana hapa kuhusu madrid kumpiga final mkala kepu chuma tatu jamaa anagundu huyu.
Hendo bado anachezaHivi kweli kwa akili ya kawaida tu, umlinganishe Gerrard na mashudu kama Hendo, seriously?? Mimi hata saa hii still I would choose Gerrard over Hendo.
Captain wa kulalamikia marefa na faulo.