Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fernando Muslera akiwa na Tunzo Yake baada Ya Mechi Ya Timu Yake vs France.

 
Ile tabia ya beki kuvaa jersey numbers za viungo na viungo nao kufanya issue kama hizo inaleta ukakasi sana na leo imebidi Fabinho avae namba 3 kwa sababu ya issues kama hizi
 
Friendly ya leo vitacheza vikosi viwili tofauti yaani kuna kikosi kitacheza kipindi cha kwanza na kuna kikosi kingine kitachocheza kipindi cha pili, vyote tofauti completely

Planned first-half team: Karius, Clyne, Gomez, Phillips, Moreno, Fabinho, Jones, Woodburn, Wilson, Solanke, Origi.

Planned second-half team: Ward, Robertson, Klavan, Phillips (Chirivella), Camacho, Milner, Keita, Kent, Ojo, Ings, Sturridge.
 
Ile tabia ya beki kuvaa jersey numbers za viungo na viungo nao kufanya issue kama hizo inaleta ukakasi sana na leo imebidi Fabinho avae namba 3 kwa sababu ya issues kama hizi


Hiyo Namba 3 aliyovaa Fabinho Leo Ni Temporary tu mpaka Pale Lovren atakaporudi Russia Kuikabidhi Namba 6 Kwa Fabinho.
 
Huyu wilson atatufaa Sana Msimu huu

Iwapo Msimu huu Huyu Wilson atapewa Nafasi Basi After 2 seasons atavunja rekodi zote za Ufungaji Kwani Dogo Ni Winga lakini anajua Kufunga Kuliko Mastrikers.
 
Naby Keita is a Machine, He is a Skynet not a Human Being! Trust me...
 
with or without concussion am not 100% convinced Karius will perfom for us to land EPL coming season...
The gaffer need a reality check with his position on Karius and coming season...
Sell Simon and sign new keeper huyu Karius awe back up
 
Wilson: "To come back now, it's my time to show the manager what I can do. We're all desperate to take the opportunities."
 
Barcelona’s Jasper Cillessen and Stoke City’s Jack Butland have so far been ruled out because they are not seen as significant upgrades on Karius, Simon Mignolet and Danny Ward, the other goalkeepers at Liverpool, according to Paul Joyce.
 
Wewe nakwambiaga kila siku kwa hili umepotoka,kwahiyo ERIC DIER ni mbovu? Ni bonge la mido lakini HENDO anamsugulisha......Hendo amesifiwa mpaka na SAF wewe unamponda ,kwahiyo SOUTHGATE na KLOPP hawajui walifanyalo?timu inapata matokeo liverpool imefika champions league final na ipo big 4 epl ww bado tu unamponda HENDO hebu sema una visa gani na huyu jamaa
 
'If Pirlo plays that ball...' - Ferdinand lauds outstanding Henderson display
Rio Ferdinand just had to talk about Jordan Henderson's performance v Sweden
Alan Shearer hails Sunderland-born Liverpool star Jordan Henderson as England reach World Cup semi-final

Shearer na Rio wanasema kama Henderson ataendelea kucheza kama alivyo cheza mechi hizi hasa ya jana na Swede basi England wanaweza chukua WC
Hawa nguli wameliona hili,lkn hapa tumekariri tu majina ya wachezaji!!
Thank God anazidi kuwakata kilimi kilimi,na bado!
 
Mkuu hao ni watu wa kusifia majina,achana nao!
Hendo mbovu anaongoza Liverpool kucheza final ya UCL kama nahodha
Hendo mbovu ndiyo anawaweka nje hao akina Dier wanao wafagilia
Hendo ni mbovu kila team aliyo pitia toka England under 18,21,Sunderland,Liverpool na team ya Taifa kote anaanza!
Hendo ni mbovu kuna kipindi alikuwa nahodha wa Liverpool na team ya Taifa!
Wao ndiyo wabovu wasio jua lolote!
Mbovu gani kila kocha anampa nafasi?
Jana na Sweden kawazima kabisa anti Hendo maana walimpania sana akosee
 
H

Henderson wil never be as SG, hizo ni ndoto....yule ni mwanariadha na ucaptain wa Liverpool aliuapata kwa utaifa wake i guess...ila sio kwa kazi kazi...
SG never played either WC kota final or WC semi final kwa hiyo kwenye ngazi ya Taifa Hendo ni zaidi ya SG
SG kacheza finals mbili za UCL kachukua moja kakosa moja,HENDO kacheza tayari moja na kakosa!
Many UCL finals will come,just a matter of time!!
Kwa hii team yetu nina imani kubwa Hendo atamfunika SG hapa Liverpool kama alivyo mfunika tayari WC
Time will tell!
 
Barcelona’s Jasper Cillessen and Stoke City’s Jack Butland have so far been ruled out because they are not seen as significant upgrades on Karius, Simon Mignolet and Danny Ward, the other goalkeepers at Liverpool, according to Paul Joyce.
Wanacheza semis na Croatia Jumatano!
Bado umekariri kama mido za England hazijui kitu?
Si ww ni mmoja wa watu wa majina,Jumatano hao akina Modric wenu akina Rakitic easily tu wanazimwa na Hendo katikati!
Tunza msg hii,England anamfunga Croatia wala matuta hawafiki na Hendo atatakata tena katikati!
 


England Katika Makundi Kacheza na:
Tunisia → W
Panama → W
Belgium → L


England Knock Out Kacheza na:
Colombia → W
Sweden → W


Kwatimu Hizo Sishangai England Kwanini Yupo Hapo Alipo.

Kwabahati Nzuri Wakubwa Wanatoana wao Kwa Wao hatimae faida inamkuta Yeye England.
(Hata hivyo hili pia linanifurahisha na Mimi Kwani Mimi Ni Mpenzi Wa England Kindakindaki)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…