Huo ndio ukweli Madrid alishashindwa kumdhibiti Liver tangu mwanzo wa mchezo kabisa sema ndo hicho baada ya Salah mchezo ukabadilika si wachezaji, kocha, mashabiki wala waangaliaji wa kwenye TV wakawa disappointed..!!
Zidane pia ni kocha bora, amewasoma liver ndani ya dk 30 za mwanzo huwa wana press sana. Hivyo hata Mo Salah angekuwapo, tempo ingeshuka tu baada ya hapo. Na liver ukiwazuia dk 30 au 40 za mwanzo, pumzi hukata.
Mechi imeisha kwa Real kushinda 3-1, hizi unazopiga humu ni kelele tu.Tuliwazidi ndio maana tuliuchezea sana mpira wakati Mohammed Salah akiwamo msianze kudanganya watu kuwa ilikuwa plan yenu. Hiyo kabla ya kuchoka Mohammed angekuwepo tungekuwa tumeshawapiga goli za kutosha tu
Mechi imeisha kwa Real kushinda 3-1, hizi unazopiga humu ni kelele tu.
Pia yasikitisha unakiri kuwa bila salah liver ni kama Ihefu, no offense!
Liverpool uwezo walikuwa nao na walicheza vizuri na kufanikiwa kuwabana Madrid dk 20 na ndio yule muhuni Ramos alitambua hilo na kwa makusudi alimuumiza salah. Hatimaye marcelo akawa free na kama mfuatiliaji wa Madrid marcelo ndio source ya magoli ya Madrid, lkn dk 20 za mwanzo kuanzia casamiro, modric, kroos, Ronaldo hawakuonekana kabisa.
Hii idea kuwa alipotoka Salah basi Marcelo akawa free kupanda mbele sielewi kabisa.
Kwa sababu alipotoka huyo Salah nafasi yake haikubaki empty. Alikua replaced na Lallana.
Sasa iweje mseme Marcelo akabaki free kwenda kutengeneza magoli mbele wakati katoka mtu kaingia mtu.
Sasa Lalana ni sawa na Salah?Hii idea kuwa alipotoka Salah basi Marcelo akawa free kupanda mbele sielewi kabisa.
Kwa sababu alipotoka huyo Salah nafasi yake haikubaki empty. Alikua replaced na Lallana.
Sasa iweje mseme Marcelo akabaki free kwenda kutengeneza magoli mbele wakati katoka mtu kaingia mtu.
Ramos ni muhuni sanaLiverpool uwezo walikuwa nao na walicheza vizuri na kufanikiwa kuwabana Madrid dk 20 na ndio yule muhuni Ramos alitambua hilo na kwa makusudi alimuumiza salah. Hatimaye marcelo akawa free na kama mfuatiliaji wa Madrid marcelo ndio source ya magoli ya Madrid, lkn dk 20 za mwanzo kuanzia casamiro, modric, kroos, Ronaldo hawakuonekana kabisa.
Sasa Lalana ni sawa na Salah?
Kwenye mpira kuna key player,liverpool Salah ndio key player mipango yote imejengwa kipitia yy,huwezi mfananisha Lallana ambaye karibia msimu mzima alikwa majeruhi ,hana hata mechi fitness alafu mfananishe mchezaji aliyechukuwa tuzo zote uingereza utaonekana chizi.Ramos usimuone mjinga kufanya vile aliona ,ubora wa Liverpool upo sehemu gani,kwani mpaka salah anatoka Liverpool walipossess na create nafasi na kama hujui Marcelo ndio source ya magoli yote kama umefuatilia Madrid ,nusu magoli yao marcelo lazima hausike kwa namna yoyote na Salah alikuwa anamzuia Marcelo kupanda na Marcelo sio mzuri ktk kukaba kwa hiyo Casamero,Kroos,Ramos na Marcelo wote macho yao yalikuwa kwa SALAH na ndio maana viungo wa Liver walitawala sana.Kosa la Liver ni moja tu kukubali lile tukio kuwatoa mchezoni basi kwani hawakuonyesha ukomavu wao ,ukija jumlisha na yale maboko mawili ya kipa ndio yaliwaua.Unachongea ww ni sawa ufanishe umuhimu wa Ronaldo na Asensio au Messi na dembele kisa wote ni watu bila kuangalia uwezo wa huyo mtu husika.Hii idea kuwa alipotoka Salah basi Marcelo akawa free kupanda mbele sielewi kabisa.
Kwa sababu alipotoka huyo Salah nafasi yake haikubaki empty. Alikua replaced na Lallana.
Sasa iweje mseme Marcelo akabaki free kwenda kutengeneza magoli mbele wakati katoka mtu kaingia mtu.
Washangiliaji wa Liver kwa mahope, Madrid kawatowa mabingwa wa ligi 3 kubwa za Ulaya na kama ukifuatilia mechi za Madrid huwa wanaanza game slow kuwasoma wapinzani ndo maana kama haujapata goli ndani ya dk 20 huwezi kuwafunga. Midfield ya Liver haina hawechezaji wa kucheza muda wote wa dk 90 bila kuchokaTuliwazidi ndio maana tuliuchezea sana mpira wakati Mohammed Salah akiwamo msianze kudanganya watu kuwa ilikuwa plan yenu. Hiyo kabla ya kuchoka Mohammed angekuwepo tungekuwa tumeshawapiga goli za kutosha tu
Waulize kwani Salah wakati yumo Marcelo alikuwa hapandi mbele? Hawa vijana wanaojifanya kujiapiza Liver itabeba UEFA walizani ni mpira unaochezwa pale uwanja wa taifaHii idea kuwa alipotoka Salah basi Marcelo akawa free kupanda mbele sielewi kabisa.
Kwa sababu alipotoka huyo Salah nafasi yake haikubaki empty. Alikua replaced na Lallana.
Sasa iweje mseme Marcelo akabaki free kwenda kutengeneza magoli mbele wakati katoka mtu kaingia mtu.
Hahaha nan mignolet afungwi naomba ukaangalie game ya liva na asernal game ya pili ndo utajua kwann yupo benchKiukweli karius tunaojua mpira kwa jicho la tatu tulikuwa tunajua ipo siku atawaumbua
Game karibu zote anasaidiwa na beki, game nying timu pinzan walikuwa wanatoka bila shoot on target, halafu mashabik wa liver wanamsifia Karius,
Nilisema humu kwaninavyowajua wachezaj wa madrid wanaopiga nje ya box ni weng, hivo nilijua ataumbuka tu,
Game ya pil ya roma alianza kuumbuka,
Game nying toka aje vvd huyu karius hajakutana na mishe mishe, mpaka ya Roma, game ya man city, hawakupiga on target, game ya etihad ukuta ulimlinda, Tunaomjua karius kwa jicho la tatu, tuliposikia anacheza na madrid, tulijua shughuli imeisha, maana ina watu ambao nje ya box wanaachia machine, kuna Kroos, cr7,marcelo, bale, casemiro
Yale magoli mignolet hafungwi, labda gol la pili
Huwez kubeba kombe na kipa kama Karius,
Ni dhambi kubwa
Namjua mignolet na karius, nawafatilia sana sanaa,Hahaha nan mignolet afungwi naomba ukaangalie game ya liva na asernal game ya pili ndo utajua kwann yupo bench
Mchezo wa Jana Ramos ndio ali amua matokeo baada ya kutaka kuchomoka na kwapa kama si bega la Salah, hapo ndipo mambo yalipo anza kubadilika...,
Mchezo wa Jana Ramos ndio ali amua matokeo baada ya kutaka kuchomoka na kwapa kama si bega la Salah, hapo ndipo mambo yalipo anza kubadilika...,
WeweeeTicha: nani kafunga?
Wanafunzi: Benzemaa
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi: kipaaaaaa
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Baleeeee
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi:kipaaaaa
Ticha:mani of the mechi?
Wanafunzi: Ramosiiiiiii
Ticha: mmetishaaa
Wanafunzi: kama kipaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuelewa mkuu dah bahat mbaya ipo na ishatokea ila kwangu mm bora karius mara 10 kuliko mig kipa gan yani mpira ukipita mabeki tu ujue goli[emoji1] [emoji1]Namjua mignolet na karius, nawafatilia sana sanaa,
Goli la Xhaka ni straight line, kimo ni juu sana, lina spid kali, kipa alikuwa na option moja tu kupanch juu, ukamshinda
Goli la bale, kimo ni cha kawaida hata kaseja angedaka, halikuwa na spid kali, option zikikuwepo kuudaka au kuupoza then kuudaka, kupanch mpira ule ni ujinga maana hata kimo chake kilikuwa ni cha kawaida
Jana nimemla hela my friend kisa huyu karius nilimwambia toka aje vvd, game nying liver hapigiw on target nyingi, na hata akipigiwa huwa ni 1-3 ambazo either anaziotea au ana zi panch ndan ya box. Na watu wanamalizia
Rejea goli la wanyama, dzeko kule roma
Halafu kama hujui Karius, likitumwa kombola hana uwezo wa kulidaka au kulipanch nje, rejea kombola la Korarov, ni Mungu nisaidie likala nguzo
Mignolet ana udhaifu wake lkn karius kazid, kwa jicho la tatu
Labda kama huwa unaangalia mpira matokeo tu,
Nakutajia kipa mwingine aliye pazia ambaye siku za kuumbuka zinakaribia ni Ederson wa man city, hata bravo ilikuwa hivo hivo ni muda tu ulikuja kuongea