Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Walevi haooooo
Mkapiga kura Ronaldo akakosa goli bora

Mkapiga kura Salah akashinda Mchezaji wa mwezi

Mkapiga kura akashinda mchezi wa mwaka.

Leo Ramos kawaonesha na mtamsahau atarudi uwanjani 2019
 
Fainali sio bahati, ni mbinu,

Madrid alivokua kaanza slow aliwapa matumaini liva wakati huo liva alikua anataka kumaliza game mapema.

Mkubwa ni mkubwa tu[emoji23][emoji23]


Alianza Slow au alikuwa ameshindwa kumzuia Liverpool asiuchezee mpira?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwani namba mbili nimeandika nini!? Usikurupuke na kujiongelesha kama unataka bwana..
 
Hahahaaaa, nina furaha leo dada angu acha tu!

Kuna workmates wenzangu kama watatu niliwaahidi jersey za Madrid kama watamfunga liva, kesho natakiwa nitimize ahadi yangu.
Hahahahahah hongera katimize ahadi.
 
Fainali sio bahati, ni mbinu,

Madrid alivokua kaanza slow aliwapa matumaini liva wakati huo liva alikua anataka kumaliza game mapema.

Mkubwa ni mkubwa tu[emoji23][emoji23]

Madrid katumia mbinu gani!? Tuanzie hapo..
 
Madrid katumia mbinu gani!? Tuanzie hapo..
Mkuu naomba tujadili kesho, saizi hatutoelewana, furaha niliyonayo saizi wakati we umeumia (kama ni shabiki wa livapul) tunaweza tofautiana.

Kesho nitakutafuta humu humu jukwaani
 
Mkuu naomba tujadili kesho, saizi hatutoelewana, furaha niliyonayo saizi wakati we umeumia (kama ni shabiki wa livapul) tunaweza tofautiana.

Kesho nitakutafuta humu humu jukwaani

Tena unitafute mapema kabla balimi hazijaisha kichwani..
 
Tatizo kubwa la liverpool ina wachezaji wenye kiwango cha kawaida sana
 
Kwahyo ndugu wachambuzi wetu, tuna amuaje thatha?

When will be the parade?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…