barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Nimemshangaa sana mmiliki wa Liver anauliza; HIVI MCHEZAJI UNAHAMAJE LIVER? NA AKIDAI SASA HIVI SABABU YA LIVER KUINGIA FAINALI BASI SUAREZ ANAJUTA KUIACHA LIVER!Bad News!!!!!
Philippe Coutinho will receive a medal following Liverpool's Champions League final against Real Madrid in Kiev.
Anfield officials have decided that the Brazilian's contribution to the campaign should be recognised, despite the fact he left for Barcelona in a £142million move back in January.
Jurgen Klopp has always insisted he didn't bear a grudge against Coutinho for pursuing the move to Barcelona and a medal will be dispatched to Catalonia
Kwani Beckham ni nani hadi tusishinde kwa kuwa eti yupo upande wa Madrid ama ndiye atakuwa refarii pale kati kesho?Hadi Bekham kaweka uzalendo pembeni, Liver lazima afe!
mkuu, kwenye UCL msimu huu tumewapiga watu makwao 5-0, 7-0, nk.Mechi haichezewi Anfield mkuu mbele ya kops, hiyo mechi kwa Liver ni kama away mechi zingine wakati kwa Real ni home away from home!
Kesho kutwa msikimbie humu.
Kesho hamshindi ingawa mtafunga goli.Kwani Beckham ni nani hadi tusishinde kwa kuwa eti yupo upande wa Madrid ama ndiye atakuwa refarii pale kati kesho?
Nimemshangaa sana mmiliki wa Liver anauliza; HIVI MCHEZAJI UNAHAMAJE LIVER? NA AKIDAI SASA HIVI SABABU YA LIVER KUINGIA FAINALI BASI SUAREZ ANAJUTA KUIACHA LIVER!
Hivi anafuatiliaga mpira kweli huyu Mr. Henry?? SERIOUSLY??
Nani mmempiga 5 na 7??mkuu, kwenye UCL msimu huu tumewapiga watu makwao 5-0, 7-0, nk.
afu kwenye finals za UCL zote za Liverpool, mashabiki wa Liverpool huwaga ni wengi kuliko wapinzani....atmosphere haifikii ya Anfield lakini inakaribia!
Hadi Bekham kaweka uzalendo pembeni, Liver lazima afe!
Kijana usiwe mbishi!Kasome Tena Alichokisema! Hakuna Sehemu Aliyosema Kuwa "Liverpool Kuingia Fainali Basi Suarez Anajuta Kuiacha Liverpool".
Kumbuka pia huwezi kupata ushindi bila kupata magoliKesho hamshindi ingawa mtafunga goli.
4-2, mtafunga hizo 2.Kumbuka pia huwezi kupata ushindi bila kupata magoli
Sipati picha keshokutwa mtakavyo kimbia humu.24Hours to go......
"Allez, Allez, Allez
Nipinge kwa kuweka source yako hapa vinginevyo unaleta ushabiki tu hapa. Bbc pia ipo hiyo na ndipo nilipoiona awali.Hilo neno Regret Ni Maneno Ya Independent! Lakini Hanry Hakusema Maneno Hayo na Ninasimamia Kwa Usahihi Ninachokisema. Link Haimaanishi Kuwa Ni Authentic Source Wakati Interview inaoneshwa Live Wakati Inapofanywa.
Imeshapatikana sababu, wakifungwa watasema haaya majembe yalikuwa ktk hali si nzuri, swaumu kali.Salah na mane kesho wangefungulia kwanza watafidia swaumu mbele kwa mbele