mkuu... utabiri wako huwaga nauaminia.Goli 3 za uhakika kabisa tunawafunga hutaamini, huenda mpaka goli za ziada, na wao wataambulia goli 1 tu, zikizidi ni 2, narudi Dar sasa natoka Lushoto [emoji13]
Nyie mmebahatisha kuingia final basi mnajiona mmechukua.
Pumbavu!! Tangu lini Madrid akakuacha fainali?
Uzuri ni kwamba Klopp hanaga bahati kabisa na fainali.
Utapigwa tatu kavu.
Lamli chonganishi achana na izo poor beliefsNyie mmebahatisha kuingia final basi mnajiona mmechukua.
Pumbavu!! Tangu lini Madrid akakuacha fainali?
Uzuri ni kwamba Klopp hanaga bahati kabisa na fainali.
Utapigwa tatu kavu.
Hawawezi Madrid warembo tumkuu... utabiri wako huwaga nauaminia.
zile fujo zetu za goli 3 ndani ya dakika 30 hawa R Madrid sidhani kama wana defence ya kuzizuia!
hahahaaa!!Hawawezi Madrid warembo tu
Hawawezi kuzuia, mkuu dunia itasimama kwa dakika 10 utaona.mkuu... utabiri wako huwaga nauaminia.
zile fujo zetu za goli 3 ndani ya dakika 30 hawa R Madrid sidhani kama wana defence ya kuzizuia!
Ingawa sipendi Liverpool ashinde kwa sababu ya kelele za kina King Ngwaba na mwenzake Malafyale, lakini nikiangalia kwa jicho la pili sioni Madrid akishinda hii gem.
Liverpool ana chance kubwa sana ya kuchukua ndoo kama wakikeep their cool.
Nakuomba tuwe pamoja kwa usiku wa kesho tuIngawa sipendi Liverpool ashinde kwa sababu ya kelele za kina King Ngwaba na mwenzake Malafyale, lakini nikiangalia kwa jicho la pili sioni Madrid akishinda hii gem.
Liverpool ana chance kubwa sana ya kuchukua ndoo kama wakikeep their cool.
Naipenda sana spirit yako BrotherNakuomba tuwe pamoja kwa usiku wa kesho tu
Madrid namfunga easy sana!
Liver hachomoki kesho, anakula 3-1. Ule mpira wa pressing ni wa kuwasumbua kina Stoke sio Madrid.Ingawa sipendi Liverpool ashinde kwa sababu ya kelele za kina King Ngwaba na mwenzake Malafyale, lakini nikiangalia kwa jicho la pili sioni Madrid akishinda hii gem.
Liverpool ana chance kubwa sana ya kuchukua ndoo kama wakikeep their cool.
Mechi haichezewi Anfield mkuu mbele ya kops, hiyo mechi kwa Liver ni kama away mechi zingine wakati kwa Real ni home away from home!mkuu... utabiri wako huwaga nauaminia.
zile fujo zetu za goli 3 ndani ya dakika 30 hawa R Madrid sidhani kama wana defence ya kuzizuia!