Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

body language inaonyesha mtu ambaye yupo exhausted mkuu...Salah looks very tired (poor first touch, awkward second, etc).

kama vipi game ya mwisho vs Brighton apate cameo ya dakika chache tu ili kumpa mapumziko kwa ajili ya big match vs R Madrid.
Ukumbuke inabidi tushinde hiyo ili tujihakikishie top 4 labda huddersfield wamfunge chelsea j5 au newcatle huyo j2
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na madrid wanavyopenda Mipira ya Juu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Oooh, kumbe ukicheza na Salah basi kazi ndio imeisha!! Sasa Casemiro atacheza nae hata akienda kunywa maji, atamsindikiza kisha kina Modric na Kros watachezesha timu!
Mechi imeshaisha!!
 
As usual! just depth inahitajika.. pale bench hakuna wa kubadili matokeo

Solanke kapanic sana.. Origi was better
 
Breaking news Liverpool reach €70m deal to sign Nabil Ferik from lyon.View attachment 768470


Mkuu Nimemnasa Klopp Baada Ya Mechi Alivyouliwa na Mwandishi Kuhusu Nabil Fekir na Ousmane Dembele alijibu Hivi:

"During the game, we agreed a deal (with Fekir)?! I would be surprised about that to be honest. No comment."



"Oooh, (Dembele) is he on the market? Now i am interested! I never comment on transfer rumours."



Hapo Hakukubali Wala Hakukataa! Bali Kasema NO COMMENT.

Maoni Yangu:
Kama Ni Uongo Kuhusu Fekir Mara Nyingi Nimemsoma Klopp Hujibu No interest! ...
Lakini Kajibu No Comment Coz Kama Ni Kweli Basi Hawezi Kukubali Mpaka iwe Confirmed Kwa Pande Zote Mbili Kwani Dili Laweza Kukwama Kwenye Kutiliana Saini tu.
 
Does it mean Buvac ndo kashaondoka au?!?


Buvac Hawezi Kurudi Tena Liverpool labda Yeye Mwenyewe Buvac Abadilike na Aombe Samahani Kwa Klopp!
Kwani Nimepata Tetesi Uhusiano Wake Na Klopp Haukuwa Mzuri Siku za Hivi Karibuni Kutokana Na Kitendo Chake Cha Kufanya Mazungumzo Ya Siri na Bodi Ya Arsenal Kuangalia Uwezekano Wa Kumrithi Wenger. Jambo hili lilimkera Sana Klopp Mpaka Buvac Akaamua Kukaa Pembeni.
 
Kuna tetesi kuwa jamaa anafanya mazungumzo na Humburg.
 
Liverpool mna mchezo mmoja tu, hizo za Brighton & Hove Albion zinatoka wapi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…