Sidhani kama ni sahihi kum-judge na hizo red card za msimu huu kwani Naby alitaka kuondoka timu ikamkataza kwa upande wangu nachukulia kama kuikomoa timu. Just imagine tungemkataza Cou kuondoka angetulipa nini?NABY KEITA KUJA LIVERPOOL
Hapo Katika Mchezo Wa Juzi Keita alipata Red Card baada Ya Kuzawadiwa Njano 2.
Kwahiyo Atakosa Mchezo Unaofuata kitendo Ambacho Kinamfanya Abakishe Mchezo Mmoja tu Wa Kuichezea RBS ambao Ndiyo Wa Mwisho Kwake na baada Ya Hapo Atafungasha Virago na Kutimkia Merseyside.
Kitendo Cha Keita Kupewa Red Card kinafanya idadi ya Red Cards alizopata Keita Msimu huu Wa 2017/18 kufikia 4 ambazo 3 amepata akiwa na RBS na 1 amepata akiwa na Timu ya Taifa.
Kiukweli Kitendo Cha Keita Kupata Red Cards 4 na Dozens of Yellow Cards Ndani ya Msimu Mmoja Ni Kiashiria tosha Kuwa Keita ana tatizo la Nidhamu mbovu Zaidi ya Hata Diof au Baloteli walipokuwa Liverpool.
Imagine Keita Anapata Red Card Katika Mechi Muhimu Kama hii Ya Roma what will happen to him kutoka Kwa scousers?
Nadhani Baada tu ya Kutua Liverpool, Klopp Katika Pre-Season atumie Muda mwingi Kumrekebisha Nidhamu Yake ili abadilike vinginevyo sioni Future yoyote yeke Yeye Ndani Ya Liverpool Kwani Huenda Yakamkuta yaliyomkuta Sacko.
Liverpool squad for Roma: Karius, Clyne, Van Dijk, Wijnaldum, Lovren, Milner, Firmino, Salah, Henderson, Klavan, Moreno, Mane, Lallana, Mignolet, Robertson, Ings, Solanke, Jones, Ward, Woodburn, Masterson, Camacho, Alexander-Arnold.
Buvac to Arsenal?
Liverpool squad for Roma: Karius, Clyne, Van Dijk, Wijnaldum, Lovren, Milner, Firmino, Salah, Henderson, Klavan, Moreno, Mane, Lallana, Mignolet, Robertson, Ings, Solanke, Jones, Ward, Woodburn, Masterson, Camacho, Alexander-Arnold.
Liverpool squad for Roma: Karius, Clyne, Van Dijk, Wijnaldum, Lovren, Milner, Firmino, Salah, Henderson, Klavan, Moreno, Mane, Lallana, Mignolet, Robertson, Ings, Solanke, Jones, Ward, Woodburn, Masterson, Camacho, Alexander-Arnold.
Angalia vizuri mbona yumo!Why Clyne not included?
Ndiyo ndiyo....sikuangalia vizuri...asanteAngalia vizuri mbona yumo!
Pamoja sana the redNdiyo ndiyo....sikuangalia vizuri...asante
Salah named FWA Footballer of the Year
Mohamed Salah has received yet more individual recognition for his incredible debut season at Liverpool, scooping the Football Writers' Association's Footballer of the Year award.
The Egyptian pipped Manchester City star Kevin de Bruyne to the prize by just 20 votes in a ballot of over 400 FWA members that saw Tottenham Hotspur striker Harry Kane finish third.
Salah becomes the first African ever to win the award, and will be presented with the trophy at an event in London on May 10.
Late last month, the 25-year-old was named the Professional Footballers' Association's Player of the Year after winning a poll of his peers.
The two prestigious gongs come as recognition for a remarkable first campaign at Anfield that has seen Salah net 43 goals in just 48 appearances in all competitions.
The Reds forward joins Ian Callaghan, Kevin Keegan, Emlyn Hughes, Kenny Dalglish (twice), Terry McDermott, Ian Rush, John Barnes (twice), Steve Nicol, Steven Gerrard and Luis Suarez in winning the award while representing Liverpool.