Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
huyu ni wa kuongezwa mkataba na mshahara mnono...Bobby nadhani alicheza street footbal ya Brazil maana mwanzo hadi mwisho wa ligi ni mara chache sana utaona akipotea....huyu ndie wild card ya Klopp na anamkumbali haswa...
CONFIRMED! Best News I've Heard in all fucking week.. 😀😀😀
Tayari Muda Huu Nimeshuhudia FIRMINO kaongeza Mkata Mpya Wa Muda Mrefu.
Roberto Firmino has signed a contract worth £9m a year making him Liverpool’s highest paid player.Kwenye huo mkataba mpya atakuwa anachukua pauni ngapi kwa wiki?
wonderful news yaaani its just wonderfull...Bobby will be legend in this beuatfull club...YNWACONFIRMED! Best News I've Heard in all fucking week.. 😀😀😀
Tayari Muda Huu Nimeshuhudia FIRMINO kaongeza Mkata Mpya Wa Muda Mrefu.
Mirror is uk media
Roberto Firmino has signed a contract worth £9m a year making him Liverpool’s highest paid player.
He has committed his peak years to Anfield. The deal, paying £180,000 a week, retains Firmino until the summer of 2023.
Roberto Firmino has signed a contract worth £9m a year making him Liverpool’s highest paid player.
He has committed his peak years to Anfield. The deal, paying £180,000 a week, retains Firmino until the summer of 2023.
Hao waandishi wa habari bwana, wakati hiyo paundi 180,000 kwa wiki huyo VvD ameanza kuchukua tangia januari halafu wanajinasibu kuwa Firmino ndio Highest paid
Hayo Magazeti ya #UK wanachokijua Ni Ku-exaggerate habari za Manure tu na si jengine.
Wamefumbia macho Kuwa VVD anagain £180K per week..
Na hivi sasa Mo Salah anataka Kupewa New Contract ya 200K per week.
Na Mane na Wengine Wote wanatakiwa Kufanyiwa improvement Contracts zao.
Sadio Mapesa ni noma, kwa maoni yangu ingefaa Mo apewe 300k, Bobby 180k, Sadio mkwanja 160kNakubaliana na wewe kwamba yapaswa wamuongezee Mane walau hata 150,000 Pounds per week anastahili. Ubora wa forward sio kwenye kufunga tu, Mane kwa maoni yangu mpaka sasa yaweza kuwa ndie mchezaji mwenye mbio kuliko wote pale Liverpool na kwa maoni yangu pia Mane ndio mchezaji anaesumbua mabeki zaidi kwa dribling yake na Paces kuliko wote pale Liverpool. Nimefuatiliaga prematch interview zetu na makocha wakubwa ambapo waandishi walikuwa wanapouliza maswali kuhusiana labda tishio la Salah lakini makocha hao ambao nawakumbuka ni Guardiola na Conte walikazia kwamba wanamuogopa Mane.
Nihitimishe tu kwa kukazia kuwa Mane nae wamkumbuke kwani ni mchezaji Bora kabisa usawa wa huyo Salah na Firmino licha ya kukosa kwake magoli sana. Firmino na Salah naonelea kwamba ni bado hawajamzidi ubora Sadio Mane.
Sadio Mapesa ni noma, kwa maoni yangu ingefaa Mo apewe 300k, Bobby 180k, Sadio mkwanja 160k
Wacha aende tuMiongoni Kwa Tetesi Zinazomuhusu Emre Can Kuna hili Gazeti la Italy linaloitwa La Gazzetta dello Sport limeripoti Kuwa Tayari Ni Done Deal Kwa Emre Can Kwenda Juventus na Ametia Saini Mkataba Wa Miaka 5.
Source: Juve, Can regalo scudetto. Il tedesco conteso ha detto sì ai bianconeri
huyu dogo tulimtaka tangu enzi za Rogers akiwa Ureno, I was shocked niliposikia amesign championship clubWacha aende tu
Nimesikia Ruben Neves alikuwa Liverpool leo
Mtu kama Sanchez anakula 400k ana nini cha kumzidi mane?Of course mzee baba, mtu mwenye skills kama Mane akawa hafikishi pauni laki moja weekly halafu kuna mtu pale Old trafford anasugua Benchi halafu anachukua 180,000 hii haileti picha nzuri
Mtu kama Sanchez anakula 400k ana nini cha kumzidi mane?