Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Tuliamua yaishe mkuu naona yameanza upya ... let's have good atmosphere here.Klopp OUT
Klopp OUT
Klopp OUT
Eheheheeh Klopp ni balaa kanyamazisha kabisa watu
Tukutane Kyiv na tunalichukua!
Alivyoandika tu Ac Roma nikajua huyu kumbe hajui mpira wivu tu unamsokota ukimuuliza hata sababu hajui hata sababuAc roma ndio timu gani wewe? Kama hujui nyamaza
ni AS ROMA NA SIO AC ROMA ILA KUNA AC MILAN NA SIO AS MILANMchezo wa kiwango cha kipekee wa Mohamed Salah uliisaidia Liverpool kuchukua udhibiti wa nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya-lakini mabao 2 ya dakika za lala salama ya Roma yaliipatia timu hiyo ahueni katika duru ya pili ya kombe hilo.
Liverpool ambao pia walifanikiwa kufika fainali ya 2007, waliipita safu ya ulinzi ya Roma bila pingamizi na kufunga mara tano katika dakika 68 za kipindi cha kwanza na cha pili katika uwanja wa Anfield.
Salah ambaye kwa sasa amefunga mabao 43 tangu ahamie Liverpool kutoka Roma alifunga mabao mawili na kutoa usaidizi wa mabao mawili.
Aliuficha mpira katika kona ya goli kabla ya kumfunga tena kwa ustadi kipa Alisson kwa bao lake la pili.
Salah baadaye alipata mpira akatamba kabla ya kumpatia Sadio Mane pasi murua na kufanya mambo kuwa 3-0, kabla ya kutoa pasi nyengine kama hiyo kwa mshambuliaji Robert Firminio aliyefunga bao la nne.
Liverpool baadaye ilikuwa timu ya pili kufunga mabao matano katika mechi ya nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya wakati Firmino alipofunga kwa kichwa kona iliopigwa na James Milner.
Huku timu yake ikiongoza 5-0 baada ya dakika 68, Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp alimuondoa Salah na Roma ikajipatia fursa katika mechi ya marudio wiki ijayo katika uwanja wa Stadio Olimpico.
Kwanza Eden Dzeko aliifungia timu yake bao la kwanza kutoka kwa pasi ya Radja Nainggolan na baadaye Diego Perotti alifunga mkwaju wa penalti baada ya Milner kuunawa mpira katika eneo hatari.
Sasa Roma itahitajika kutumia kila mbinu ili kushinda 3-0 nyumbani Italy ili kusonga katika fainali ya kombe hilo.
Wiki mbili zilizopita Roma iliwashangaza mabingwa wa Uhispania Barcelona kwa kuwalaza 3-0 baada ya Barcelona kuicharaza timu hiyo 4-1 katika duru ya kwanza
Iwapo watafanikiwa kuilaza Liverpool nyumbani basi wataingia katika fainali dhidi ya Bayern Munich ama Real Madrid ambao wanakutana Jumatano kwa mechi nyengine ya nusu fainali.
Mbali na mabao mawili yaliofungwa na Roma katika kipindi cha pili cha mechi kiungo wa kati wa Liverpool Alex Oxlaide-Chamberlain alitolewa uwanjani kwa machela baada ya kupata jereha.
Kocha Jurgen Klopp anasema kuwa huenda kiungo huyo alipata jeraha 'baya sana'.
wanawake pia wanaweza wakiwezeshwa hivyo tumwezeshe aje kuwa mchambuzi wa soka la kimataifaAlivyoandika tu Ac Roma nikajua huyu kumbe hajui mpira wivu tu unamsokota ukimuuliza hata sababu hajui hata sababu
ni AS ROMA NA SIO AC ROMA ILA KUNA AC MILAN NA SIO AS MILAN
Hata watangazaji wa Radio na Tv wengi tu wanatamka hivyo. Au kutamka BAKA badala ya BASA!ni AS ROMA NA SIO AC ROMA ILA KUNA AC MILAN NA SIO AS MILAN
kosa kubwa walilofanya Roma ni kuja kutaka ku replicate ile game plan waliyoitumia vs Barca (high line defense, etc).Pia Unaweza Kujiuliza 'Sijui Wameruhusu Vipi Zile 5'
kosa kubwa walilofanya Roma ni kuja kutaka ku replicate ile game plan waliyoitumia vs Barca (high line defense, etc).
naona yule mwalimu wao sijui alishindwa kupambanua kuwa Barca ni "masters of control" while LFC ni "masters of riot".
ndiyo maana, pamoja na ufinyu wa kikosi chetu kwa sasa, I can't see Roma overturning this 5-2 deficit. kwa game plan ipi?
exactly!Forward line ya Liverpool kwenye UEFA imekuwa ya maajabu, ukijiuliza sijui wameruhusu vipi zile tano utajiuliza pia Hoffenheim 6, Maribor kuruhusu 10, Spartak Moscow 7, Porto 5, Man City 5.
Don't forget that they are unbeaten kwenye UEFA na wao ndo wanaongoza kwa kufunga goli nyingi.
With those facts, that's expected.
Jitahidi tu kupunguza idadi lakini siyo kutofungwa.
Waambie wamuulize Man Vitu, Etihad alipata goli dakika ya pili, kilichowakuta.Hii Liverpool ya huu msimu ni MOTO uunguzao mkuu, huyo Roma tunaenda kumuunguza pale pale kwake, sisi siyo kama Barca!
Labda watumie wachezaji 6 kwa ajili ya Firmino, Salah na Mane. Halafu wao watabaki wa5, kitakacho wakuta, MUNGU ndo anajua.Roma hawezi mzuia Salah
Roma hawezi mzuia Mane
Roma hawezi mzuia Fimo
Roma atapigwa pale pale kwao
Hoefman,Porto na Man City walipigwa kwao
Akijipendekeza kucheza mpira tu, amekwisha....tena tutamchapa za kutosha tu
Ndo maana nimesema, Roma akijipendekeza kucheza mpira na kwa speed ili ashinde, basi, ndo atakufa kifo kibaya sana. Keep these my words brother .kosa kubwa walilofanya Roma ni kuja kutaka ku replicate ile game plan waliyoitumia vs Barca (high line defense, etc).
naona yule mwalimu wao sijui alishindwa kupambanua kuwa Barca ni "masters of control" while LFC ni "masters of riot".
ndiyo maana, pamoja na ufinyu wa kikosi chetu kwa sasa, I can't see Roma overturning this 5-2 deficit. kwa game plan ipi?
Yeah kumtoa Mo ilikuwa kosa kubwa. Miitaliano ilibadilika ghaflaBabu, kikosi cha aidha Bayern munich ama Real Madrid ni hatari sana....ni ngumu kuamini kuwa mtachukua kombe mbele yao.
Kingine mistake kubwa ya kocha wenu ipo kwenye Kumake substitution.
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
isije ikatokea "comeback" ...mana mpira hauna adabu...ikawa 4 -0Ninachowaambia tu Wale Anti-Scousers Kuwa Miracles happen only once"! Kwahiyo Sahauni Ya Barcelona.