Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna cha ubora hapo mkuu,kwa ulaya timu ikiweza kuvuka round ya 16 na kusonga mbele mpaka semi final kama hivi hiyo timu ni bora hata kama itakuwa na wachezaji wasio na majina wala historia yoyote.Madrid anajivunia ukubwa wa majina ya wachezaji tu hali kadhalika barca ambaye sasa anatazama mpira kwenye TV.

I have a dream.
 
Anyways mmejitahidi sana ila fainali hamtoki..[HASHTAG]#futurepost[/HASHTAG]....@wachawi na wanga.
 
Yote Tisa! Kumi Ni Kwamba Lovren ajifundishe Kucheza Mipira Ya Juu Kwa Kichwa Kwani Anatucost Mara Nyingi Sana! Lile Goli la Djeko si la Kutufunga Lakini Amemuachia Mpira na Kufunga Kiulaini Kabisa.
 
Mkuu kwanza sorry kwa kukuita mnafiki Ila Huyo Madrid unayemsema hata game1 ya semi final hajacheza na ushampa ushindi hii kisoka haijakaa sawa na kesho sio mbali mkuu sababu mm na wewe bado hatujui matokeo kwan mpira bado haujachezwa
Hakuna tatizo Mkuu, kama tutajaliwa uzima basi kesho tutakutana tena hapa muda kama huu baada ya Real Madrid kucheza na Bayern munich.

Na ikiwezekana siku ya fainali pia.



Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Babu, kikosi cha aidha Bayern munich ama Real Madrid ni hatari sana....ni ngumu kuamini kuwa mtachukua kombe mbele yao.

Kingine mistake kubwa ya kocha wenu ipo kwenye Kumake substitution.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app


Fainal unategemea Klopp atamtoa Mo Salah au Firmino? Kama unadhani Klopp atafanya Sab Hizo basi Sahau.
 
Mara kadhaa nimegundua ukiwatenganisha front three unakuwa umeua mashambulizi mpra unakuwa unachezwa zaidi katikat na nyuma yetu!
 
26 mkuu
 
Kwa defense ya Madrid na kipa wao wala sina wasiwasi
Bayern kwa beki ya Hummels na Boateng ndio mdebwedo kabisa


Na Kizuri Zaidi Mashambulizi Yao Mengi Real Wanamtegemea Marcelo! Sasa Tukikutana Basi Marcelo na Aje Ashambulie Amuache Mo Salah Peke Yake aone Segere...


Na Akimkaba Mo Salah Basi Atauwa Mashambulizi na Hatimae Ronaldo Atageuka Mzururaji tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…