Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mkuu tunaongelea leo..na Sanchez kashafanya yake kule. ,[emoji23][emoji23]By the way! Last Game at OT ilikuwa Man U 0 - 1 WBA
Mkuu tunaongelea leo..na Sanchez kashafanya yake kule. ,[emoji23][emoji23]
mkuu goli la pili naona huyu Gomez ndio kasababisha maana alipoteza mpira ambao sio wa kupoteza na kucheza faulo....kwa kweli Gomez apelekwa kwa mkop msimu.ujao akakue maana AT sio lever yake...πππ Nilijua Tu Lovren Atimize michezo Mitano bila ya Kutufanya Kitendo Ni jambo la ajabu
Leo Countinho anavaa medal ya kwanza na week ijayo ya pili hongera zake nusu msimu medals 2
mkuu goli la pili naona huyu Gomez ndio kasababisha maana alipoteza mpira ambao sio wa kupoteza na kucheza faulo....kwa kweli Gomez apelekwa kwa mkop msimu.ujao akakue maana AT sio lever yake...
Moreno nae ni wale wale tu majina..
game management to go full throttle kwa Roma