Timu kubwa ulaya kufungwa na Liverpool msimu huu kwenye ucl ni man city,timu ambayo mafanikio yake makubwa ni kufika semi final ya UCLNyinyi Ni [HASHTAG]#Refereedrid[/HASHTAG]
Timu kubwa ulaya kufungwa na Liverpool msimu huu kwenye ucl ni man city,timu ambayo mafanikio yake makubwa ni kufika semi final ya UCL
Kiufupi Liverpool bado hamjakutana na magiant wa uefa
Huna uwezo wa kumfunga timu iliyomtoa barcaMmmoja Wa Huyo Unaemwita Giant Wa Ulaya Ni Barcelona!
Lakini Barcelona Ambaye Anatarajiwa Kuwa Bingwa Wa Kishindo Wa Spain ametolewa Na Roma.
Kwahiyo Roma Ni Mbabe Aliyemtoa Giant Wa Ulaya Kwa Aibu...
Sasa Liverpool imekutana Na Mbabe Wa Barcelona...
Je iwapo tutamtoa Mbabe Wa Barcelona bado utakuja Na Excuse nyengine?
Liverpool yenyewe ni giant wa UEFA...au umeanza juzi juzi tu kufuatilia mpira?Timu kubwa ulaya kufungwa na Liverpool msimu huu kwenye ucl ni man city,timu ambayo mafanikio yake makubwa ni kufika semi final ya UCL
Kiufupi Liverpool bado hamjakutana na magiant wa uefa
Hilo nalijua sana, ila nilishangazwa na uchambuzi wa huyo bwana niliyemuuliza maswali hayo. Amesema liverpool tumemfunga giant mmoja tu wa uefa ambaye ni man city...Liverpool yenyewe ni giant wa UEFA...au umeanza juzi juzi tu kufuatilia mpira?
Man City ni infant when it comes to UEFA.
Hivi timu mpaka iitwe Giant inabidi ipitie nini haswa ama iwe na vitu gani ili kuweza kuitwa Giant?
Na huo u-Giant wa timu huwa unadumu kwa muda gani mpaka ikafikia hatua timu kutolewa katika kuwa giant?
Maswali haya naomba unijibu ndugu IFRS kama hutojali..
Pamoja sana...Hilo nalijua sana, ila nilishangazwa na uchambuzi wa huyo bwana niliyemuuliza maswali hayo. Amesema liverpool tumemfunga giant mmoja tu wa uefa ambaye ni man city...
Kwa ninavyojua mimi man city mbele ya liverpool hafui dafu kwa chochote kile.
Ndugu yangu Gwamahala, mie mpira nimeanza kujifunza katika kombe la dunia mwaka 1998. Sio mwenyeji sana lakini sio mgeni kiivyo.
Liverpool na Man united wameanza lini kuuziana wachezaji?Jamani Scousers wenzangu! Ingawa #FA hairuhusu Kusign Pre-Contract Kwa Mchezaji Kutoka Timu Moja Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] kwenda nyengine ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] lakini I'm just hearing a Rumour Kuwa Emre Can Kwenda Man United Ni Done deal Kwenye Talking.
Kuna Wanaokwenda Mbali Zaidi Wakidai Baada Ya Negotiations amegeuka Coutinho amefake injury ili kutokucheza tena Kwenye Liverpool lakini Physically yupo Fit without any fucking injury.
Kuhusu hiyo transfer itakuwa ni Rumour kweli ila sio UKWELI, ila kuhusu injury ya jamaa naweza kubali kuwa kafake maana ilitokea ghafla tu baada ya kuona -ve reaction ya fans baada ya kujitapa anaenda club "Kubwa" zaidi ya Liverpool FC.Jamani Scousers wenzangu! Ingawa #FA hairuhusu Kusign Pre-Contract Kwa Mchezaji Kutoka Timu Moja Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] kwenda nyengine ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] lakini I'm just hearing a Rumour Kuwa Emre Can Kwenda Man United Ni Done deal Kwenye Talking.
Kuna Wanaokwenda Mbali Zaidi Wakidai Baada Ya Negotiations amegeuka Coutinho amefake injury ili kutokucheza tena Kwenye Liverpool lakini Physically yupo Fit without any fucking injury.
Liverpool na Man united wameanza lini kuuziana wachezaji?
Kuhusu hiyo transfer itakuwa ni Rumour kweli ila sio UKWELI, ila kuhusu injury ya jamaa naweza kubali kuwa kafake maana ilitokea ghafla tu baada ya kuona -ve reaction ya fans baada ya kujitapa anaenda club "Kubwa" zaidi ya Liverpool FC.
Alaanike kwa roho isio nsio shukranJamani Scousers wenzangu! Ingawa #FA hairuhusu Kusign Pre-Contract Kwa Mchezaji Kutoka Timu Moja Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] kwenda nyengine ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] lakini I'm just hearing a Rumour Kuwa Emre Can Kwenda Man United Ni Done deal Kwenye Talking.
Kuna Wanaokwenda Mbali Zaidi Wakidai Baada Ya Negotiations amegeuka Coutinho amefake injury ili kutokucheza tena Kwenye Liverpool lakini Physically yupo Fit without any fucking injury.