Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Sevila yeye kwangu na kwake tulitoka sare...Manure ndio alitolewa barua ya posa na hatimae kuolewa trafordmchumba wa sevilla...
Bado kdg uwe mke....
nn tena mkuu mbona unabadili topic?arsenal bado sana kwa LiverpoolAu ndo kazi zako nn...mbn umeyakomalia hivyo.....wamasai wa kwenu sio poa...
Pep saizi hapati usingizi kabisa anawazia Jumanne tu...Kikosi cha jana cha nan city kilichoanza napenda Pep akirudishe jumanne [emoji38]
Kuwa na watu kama Ings + Solanke ni tatizo next season yaan hata Brewster ni bora zaidi yao
Kikosi cha jana cha nan city kilichoanza napenda Pep akirudishe jumanne [emoji38]
Kuwa na watu kama Ings + Solanke ni tatizo next season yaan hata Brewster ni bora zaidi yao
8 kwa 7......Nimefungwa bao 9 na ww umepigwa bao 8 na inapoelekea zitafika 10+......think before you act....shame on urself...
Labda kuna kitu kakiona kwa Solanke, ngoja tumpe muda tuone.Mimi Mpaka Sasahivi Napata Ukakasi Sijui Klopp Anampendea Nini Solanke! Manake Huyu Solanke Hata Timu yangu ya Kijiweni Tunayocheza Chandimu basi Hapati Namba.
Lakini wacha Nimchore tu Klopp Huenda Kuna Kitu ameshakigundua Kwa Solanke.
Labda kuna kitu kakiona kwa Solanke, ngoja tumpe muda tuone.
Kwa kweli hapo na Mimi hua nashangaa Sana, yan klop kamtoa sturidge na coutinho af hata hajatafuta mbadala wao. Hawa kina solanke hata hawawezi kutupa matokeo ikitokea kina salah wakapumzishwa. Juzi nilimuonea huruma mane, kampa solanke pas ili arudishiwe yan one two, af solanke akapiga shuti likaishia kwenye ukuta wa mabekiMimi Mpaka Sasahivi Napata Ukakasi Sijui Klopp Anampendea Nini Solanke! Manake Huyu Solanke Hata Timu yangu ya Kijiweni Tunayocheza Chandimu basi Hapati Namba.
Lakini wacha Nimchore tu Klopp Huenda Kuna Kitu ameshakigundua Kwa Solanke.
Mkuu mbona Origi naona ndiyo anafaa kuwa msaidizi kwenye mechi za FA/Carabao...June peleka kwa mkopo akapate playing time huko,rudisha Grujic,O jo na Flanagani !Bakiza Ings acheze FA na Caragabao kama our false 9!
Uza Mignolet pandisha kipa Wards kama deputy na leta kipa namba tatu toka U 21!
Uza Origi asije tena Anfield