Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Malengo ya Arsenal huwa yanaishia wapi sasa?
Maana huwa inafika hatua mnagombea top four tu, na sasa Spurs anajua kuwaotea kwa kuwaweka chini yake tu. Basi hapo maumivu yanazidi mara zote.
spurs kamaliza juu ya asenali kwa mara ya kwanza mwaka jana tangu iitwe premier league 1992...je spurs kakaa juu ya liva mara ngapi tokea mwaka huo?...ukipata jibu ndo utajua unafikiria kwa kutumia kipapatio..
 
Hiv ni wachezaji gan wa muhimu tutawakosa ktk game na city j4
 
Dogo Wetu Henry Wilson Kama Kawa na Leo Katupia Kule Hull City.
 
spurs kamaliza juu ya asenali kwa mara ya kwanza mwaka jana tangu iitwe premier league 1992...je spurs kakaa juu ya liva mara ngapi tokea mwaka huo?...ukipata jibu ndo utajua unafikiria kwa kutumia kipapatio..

Record yenu UCL inapendeza sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…