Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Man city hayumo fa, alishapigwa na wigan akaagaMkuu nafasi ya pili ni muhimu sana kama hujui. Man City anachukua PL na anaweza kuchukua FA. Mwanzo wa msimu ujso ile ngao ya hisani atacheza na nani??[emoji847][emoji847]Jifikirishe hapa.
Wewe umeshinda mechi ngapi kwa man cty na liver kashinda ngapi kwa man cty msimu wa 2017/18? Kwenye mashindano yote?Nimefungwa bao 9 na ww umepigwa bao 8 na inapoelekea zitafika 10+......think before you act....shame on urself...
Ndo maana nasema mashabiki wa liva mnashangilia kushinda mecni2...ndo mlichobakiza kushangilia coz hamuwezi kushangilia makombe....Wewe umeshinda mechi ngapi kwa man cty na liver kashinda ngapi kwa man cty msimu wa 2017/18? Kwenye mashindano yote?
Hongereni nyie mnaoshangilia makombe, hivi una uefa cl ngapi kabatini kwako?Ndo maana nasema mashabiki wa liva mnashangilia kushinda mecni2...ndo mlichobakiza kushangilia coz hamuwezi kushangilia makombe....
Tatizo mnakariri wazee nyie....kwan makombe ni ucl pekee..?Hongereni nyie mnaoshangilia makombe, hivi una uefa cl ngapi kabatini kwako?
Nimefungwa bao 9 na ww umepigwa bao 8 na inapoelekea zitafika 10+......think before you act....shame on urself...
Umemsahau matipMoreno injury
Robertson injury
Mo Salah injury
Gomez injury
Lallana injury
Sijui Mkosi gani huu unaotaka kutusogelea....
Ondoa shaka mkuuIla kwa mechi ya leo nadhani ingekuwa vizuri kama Firmino angecheza kulia kisha Ings akacheza katikati.
Solanke namuona kama urojo fulani hivi.
Napenda tushinde hii mechi maana kumtegemea City amfunge Man u sio jambo sahihi kabisa.Ondoa shaka mkuu
kumbe hadi uefa kuna pointi 3!! Mi nilifikir zipo makundi na kwenye ligi2...hata kwenye fainali yoyote mi cjawahi sikia pointi zozote zinagawanwa....au ligi siku hizi timu inacheza more than two games in a season....!!In Case of Points per Match Amenifunga Goli 8 lakini Kachukua points 3 tu Kwangu! Lakini Mimi Nimemfunga Goli 7 na Nimechukua Points 6 kutoka Kwake.
Sasa Wewe Kakupiga Goli 9 na Kuchukua Zote Points 9 na Wewe Hukunusa Points na Magoli sijui Kama imepata angalau Mawili.
Sasa Mimi Niliyechukua Points 6 Kwa Man City na Yeye Akaambulia Points 3, Na Wewe Aliyechukua Points Zote 9 kutoka Kwako! Nani Wa Kujifikiria Kabla Ya Kuongea??