Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona unakaza ubongo.....namaanisha coutinho ana nafasi kubwa ya kubeba titles kubwakubwa huko barca kuliko liva....
City mko nae ligi moja mmezoeana.......kuhusu kumfunga pep mbona alikojolewa nyingi2 na madrid ya cristiano...na pia mbona aliwekwa nyingi2 na barca ya messi....?
Kumfunga city si kubeba uefa....city hawezi pona kwa madrid....pia hawezi kupona kwa barca.....
Use your common sense....
 

Unaongea utumbo tu wa kukariri!
Hauna hata point moja ya maana kuhalalisha usemacho!
Liverpool inaongoza kwa kufunga UCL na inaongoza kwa clean sheets pia!
Takwimu zinaishi
Liverpool hamuogopi yyt UCL
 
At the end msimu bora unahitimishwa na medals, Klopp apange karata zake vizuri, hakuna guarantee kama Salah & Mane & F10 watakuwa na kiwango hicho hicho next season
 
Unaongea utumbo tu wa kukariri!
Hauna hata point moja ya maana kuhalalisha usemacho!
Liverpool inaongoza kwa kufunga UCL na inaongoza kwa clean sheets pia!
Takwimu zinaishi
Liverpool hamuogopi yyt UCL
Sevilla kakujambisha.....hadi kufikia robo,ulikutana na timu gani za maana...?
 
Usiichukulie poa man city, ni moja ya timu bora ulaya, fomu yake ya mwaka huu haifanani na fomu aliyokua nayo kipind anafungwa na barca au madrid, muda mwingine inabd uweke ushabiki pembeni ili uchambue kwa haki
 
Liverpool wako powa, kifupi usibeze timu yoyote ambayo imefika hatua hii Uefa.
 
At the end msimu bora unahitimishwa na medals, Klopp apange karata zake vizuri, hakuna guarantee kama Salah & Mane & F10 watakuwa na kiwango hicho hicho next season


Hii Yako Ni Conspiracy Theory Kwa Sababu unawazungumzia Mane, F10 na Salah kutokuwa na Guarantee Kwa performance zao next season! Lakini unashindwa Kuwazungumzia Wachezaji Wako Kina Hazard, Kante na Willian Kuwa nao pia Hawana Guarantee Ya Kiwango Chao Msimi ujao.

Kwahiyo Guarantee Hiyo Ni Kwa Players Wa Liverpool tu?

Firmino Tokea Aje Liverpool Amedumu Katika Consistency, Mane Tokea Yupo Soton nayeye amedumu Katika Consistency. Kwahiyo hakuna Doubt yoyote Kuhusu Viwango vyao Msimu ujao.
Salah ndiyo tutamuangalia next season kama ataendeleza Consistency Yake.
 



Salah came second in an Egyptian presidential election he wasn't involved in.

Wamisri Wamemtilia Kura Zaidi ya 1.5m+ kuimesha Kuwa Wanampenda zaidi.
 
Mkuu nafasi ya pili ni muhimu sana kama hujui. Man City anachukua PL na anaweza kuchukua FA. Mwanzo wa msimu ujso ile ngao ya hisani atacheza na nani??[emoji847][emoji847]Jifikirishe hapa.
 
Kwa takwimu zipi?
2-2 Anfield
3-3 ugenini
Kwa matokeo haya Liverpool angesonga mbele,sasa alinijambisha kivipi?
Hamna team mbovu UCL,Liverpool inamfunga yyt UCL
Kutegemea bao la ugenini ni dalili ya kushindwa..
 
Usiichukulie poa man city, ni moja ya timu bora ulaya, fomu yake ya mwaka huu haifanani na fomu aliyokua nayo kipind anafungwa na barca au madrid, muda mwingine inabd uweke ushabiki pembeni ili uchambue kwa haki
Ndio nachambua kwa haki...pep ni yuleyule aliyefungwa nyingi na madrid na barcelona....
 
Timu Ya Maana Tuliyokutana Nayo Ni Man City Tuliyemfunga 3 ambaye Wewe Kuakupiga 9 (i.e. 3 + 3 + 3) ndani ya Msimu huu mmoja.
Nimefungwa bao 9 na ww umepigwa bao 8 na inapoelekea zitafika 10+......think before you act....shame on urself...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…