Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Sisi watuletee yeyote tu tunapiga...Fahamu Kuna Sheria zilishabadilishwa na [HASHTAG]#UEFA[/HASHTAG] na ndiyomana Hata Kipengele cha Country protection Kwa Liver vs City haikutumika.
Kwahiyo Na Hapo Kwenye Semi-Final Patachezeshwa Upya Draw na Liverpool akiingia Nusu Atakutana na Timu Yoyote Kati ya Zitakazoingia ikiwemo hiyo Real.
Na Usijeshangaa Real Madrid vs Barcelona wakakutana (75%) naamini hivyo.
currently, ndo tunae huyo tu hatuna centerback mwengine ilibidi Klopp achukue teenager academy awe back up.Lovren Jana kacheza Vizuri lakini Huyu Haaminini Hata asilimia 1% kwani Hana Consistency Hata kidogo na anaweza Kutucost muda wowote pahala tusipopategemea.
Hata hivyo Kwa Jana Lovren anahitaji Pongezi.
tumekula ngumi mpaka tumezoea, ila naona kwa wengine ni tabu..πππArsenal Thread
Kuna game tulikua hakuna c.b hata Mmoja nakumbuka ile game wijnadam(??)alipiga mkoba na alicheza poa sana!!currently, ndo tunae huyo tu hatuna centerback mwengine ilibidi Klopp achukue teenager academy awe back up.
kwenye midfield tuna majeruhi wa kutosha changanya na ile yellow card ya kizembe ya Henderson maana chances za Can kucheza second leg ni ndogo sana.
Lets hope hatuta pata injury kwenye Derby
Man City failed to register a single shot on target for the first time across all competitions this season.
Klopp blocked.
Unfucking Believable πππ[/QUOwalivyo kuwa wakishambulia sana kipindi cha pili sikua na stress kabisa na niliwaambia watu,yani huwezi kuamini na mbwebwe zao zote zile hakuna Moira wa hatari uliopigwa gorini kwetu kila wetu ulikua likizo.