Keita anakuja kwa kazi nyingine kama Can akiondoka lazima tutafute holding mido kama Jorginho wa Napoli au Jean Michael Seri wa Nice otherwise tukubali tuwe tunamtumia henderson tu
Keita anakuja kwa kazi nyingine kama Can akiondoka lazima tutafute holding mido kama Jorginho wa Napoli au Jean Michael Seri wa Nice otherwise tukubali tuwe tunamtumia henderson tu
Anajua sana kwa soko la sasa hio 50 mimi naona ndogo na kuna sehemu nliona kuna rumours pia mourinho anamtaka kwa hiyo ushindani utaongeza bei yake.Jorgihno nimemuona jana na Argentina anajua sana mpira lkn bei yake Klopp katenga 50 wakikataa bei hiyo je Klopp ataongeza bei?
[emoji16][emoji16] si unajua watu wakishaamua lao watampaisha zaidi ya uwezo wake.... ila kama mimi ningependelea sana kama wangecheza wote pamoja katika mfumo 4 4 2 flat Jesus ni clinical sana katika finishing angefaidika sana na movement za firmino za kuwapoteza maboya mabekiNa Hizi Media za Kibrazil Ndiyo Zinataka Kutuaminisha Kuwa Gabriel Jesus Ni Bora Kuliko Roberto Firmino ?
Haiingiliki Akilini Kuwa Jesus Ni First Choice Striker Wa Brazil Kuliko Firmino!!!
Anajua sana kwa soko la sasa hio 50 mimi naona ndogo na kuna sehemu nliona kuna rumours pia mourinho anamtaka kwa hiyo ushindani utaongeza bei yake.
Kabla ya kuja city akiwa Brazil Jesus G alikuwa Team ya Taifa na first eleven sasa anacheza city sijisumbui kuuliza uhalali wake kucheza first elevenNa Hizi Media za Kibrazil Ndiyo Zinataka Kutuaminisha Kuwa Gabriel Jesus Ni Bora Kuliko Roberto Firmino ?
Haiingiliki Akilini Kuwa Jesus Ni First Choice Striker Wa Brazil Kuliko Firmino!!!
Kabla ya kuja city akiwa Brazil Jesus G alikuwa Team ya Taifa na first eleven sasa anacheza city sijisumbui kuuliza uhalali wake kucheza first eleven
Hapana mkuu huyo dogo akiwa club ya palmeiras aliweza kupata namba wakati Brazil ikiwa forward wengi ulaya.nadhani tusitarajie Gabry kuanzia benchi akiwa na team ulaya yenye outstanding performanceMkuu Kama Nimekuelewa Vizuri Basi Umechukulia Kuwa Kuchezea Man City Ndiyo Kigenzo Cha Ubora Cha Kupata Namba Timu Ya Taifa si Ndiyo?
Hapana mkuu huyo dogo akiwa club ya palmeiras aliweza kupata namba wakati Brazil ikiwa forward wengi ulaya.nadhani tusitarajie Gabry kuanzia benchi akiwa na team ulaya yenye outstanding performance
Sijui kwanini watu wengi huwa hawatambui uwezo wa huyu mtuIngawa Sina Haki Ya Kupinga Mawazo Yako! Lakini Mtazamo Unapingika ila Stats Hazidanganyi..
Kiukweli Stats Za Firmino Zipo Juu Kwa Kila Kitu Ukilinganisha na G. Jesus.
Ni Kweli Man City Ni Outstanding Kwa Msimu huu! Lakini Performance Ya Timu haibebi Individual Performance.
Firmino Ni Underrate tu ukilinganisha na GJ Lakini Tayari Ameshafunga Magoli 22 this season akionesha Kwamba Amekuwa Transformed Kutoka False Striker to Real Striker.
Sindio vizuri ili tuendelee kuwa nae maana kuna timu zinajua vizuri vimeumbwa kwa ajili yao tu
Kuna baadhi ya mechi huwa anakuwa katika kiwango bora na baadhi ya mechi huwa hayupo katika kiwango bora.Kikubwa ila ubora wake utambulike kama unavyotambulika kwa baadhi ya wachezaji wanaofanya vizuri,anahitajika aonyeshe kiwango bora kwa kila mechi.Sindio vizuri ili tuendelee kuwa nae maana kuna timu zinajua vizuri vimeumbwa kwa ajili yao tu