Ni kama bahati tu
Maana vimipira vinazungushwa kila mtu anaona lakini vinakuwa ndani ya bakuli la glasi
Mtu anakuwa anachanganya hiyo mipira anachukua mmoja wakwanza kutoka ndio anakuwa nyumbani
Lakini mipira ni michache 8 tu kwa mtu kumpanga na kumark ile mpira ni rahisi kama wao kweli wamepanga wanaweza maana hawatashindwa ,mipira ya Liverpool na man city ilikuwa ya mwisho kabisa.
Google it mdau, hizi draw zina siri kubwa nyuma yake.. Ila jua sio by chance kwamba timu za Epl kukutanishwasorry lakini,mbona wengi wetu humu tunawalaumu uefa kuhusu timu 3 za spain kutokupangwa against each other kama 2 za england?
Google it mdau, hizi draw zina siri kubwa nyuma yake.. Ila jua sio by chance kwamba timu za Epl kukutanishwa
Hivyo vimipira vingine vinakuwa baridi na vingine vya moto, kwa hiyo wakati akavizungusha pale anakuwa ameshajua kuwa achukue cha moto au cha baridi, kwa hiyo ni bahati nasibu inayopangwa na wakuuNi kama bahati tu
Maana vimipira vinazungushwa kila mtu anaona lakini vinakuwa ndani ya bakuli la glasi
Mtu anakuwa anachanganya hiyo mipira anachukua mmoja wakwanza kutoka ndio anakuwa nyumbani
Lakini mipira ni michache 8 tu kwa mtu kumpanga na kumark ile mpira ni rahisi kama wao kweli wamepanga wanaweza maana hawatashindwa ,mipira ya Liverpool na man city ilikuwa ya mwisho kabisa.
Klopp atampiga Guardiola...believe me.
Katika tarehe za game naona umeruka derby yetu na Everton 7/4
We bwege mpira dk 90 na liver walizitumia hizo dk 90, nani pale england anauwezo wa kumpiga cty goli nne?Hata tukizungumzia hiyo game ya mwisho mashabiki duniani kote Wa Liverpool waliamini wameshinda hadi refa alipopuliza kipenga team mmemuacha difference ya goal 4 Ila comeback ilikuwa inawezekana zilibaki Kama sekunde tatu yangekuwa mengine. Sasa nakushangaa unakuja kutamba kwa ile game labda uliangalia matokeo livescore ukaona ni ushindi basi ukajua uwanjani mambo yalikuwa mepesi kiasi hicho.
Team hahiwezi kulinda goal lake team mbovu ambayo kwa England mtu yeyote anaweza kuwapiga comeback muda wowote.
Tatizo mkuu hutaki kukubali kuwa Liverpool kwenye safu ya ulinzi ni Kama pazia.
Wakati liver anaiface man cty nyie ndio mtakuwa mnaiface tvPoleni naona safari yenu imefika tamati
Hizi porojo zote Mara za ratiba Mara za msimamo Wa league ni kuficha ukweli na madhaifu yenu. Kuwa mtakufa na mkikaa ovyo mtakufa nyingi.Hapo Nahisi Kuna Hali Mbili:
1) Either Tupoteze Top Four ili Tusonge Mbele #CL.
1) Au Tupate Top Four Tupoteze Kwenye #CL.
Kwani Spurs Hana Pressure Ya CL Bali Yeye Ni EPL tu.
Na Chelsea Hana Pressure ya CL Bali na yeye Ni EPL tu.
Bali Sisi Tutakuwa Na Pressure Kubwa Katika Michezo Miwili!
1) Crystal Palace v/s Liverpool 31/03/2018 (Saturday)
2) Everton v/s Liverpool 07/04/2018 (Saturday)
Michezo Hiyo inaweza ikatuathiri Pakubwa Kwenye Kucompete Kwa Top Four Kwani Klopp imbidi Kwenye Michezo Yote Hii Miwili apumzishe Wachezaji Kwa Ajili Ya Kupata Match Fitness ya #CL.
So, Huenda Tukapoteza Michezo hii.
Lakini Klopp iwapo atakazania Hizi Mechi Mbili na Kupanga Vikosi Kamili Bila Ya Kupumzisha Wachezaji ili ashinde, Basi Huenda Tukapoteza Kwa Man City.
Kwani Man City Yeye He is already ameshabeba [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Kwa 95%, So, Anaweza Kupumzisha Wachezaji Wake bila ya Pressure Yoyote Kwa Ajili ya #CL.
Kama uliangalia matokeo liverscore Una haki ya kusema hivyo.We bwege mpira dk 90 na liver walizitumia hizo dk 90, nani pale england anauwezo wa kumpiga cty goli nne?
Ishu ni points 3 kibindoni kwani ilipoishia game iliyopita ndo tunaanzia pale?Kama uliangalia matokeo liverscore Una haki ya kusema hivyo.
Ila ungeangalia mpira vizuri usingethubutu kuzungumzia ile game.
Today[emoji652][emoji652][emoji652][emoji652]
Karius, Gomez, Matip, Van Dijk, Robertson, Henderson, Can, Wijnaldum, Salah, Firmino, Mané.
Ishu ni points 3 kibindoni kwani ilipoishia game iliyopita ndo tunaanzia pale?
Hio mimi naiona kama ndio strongest mid yetu ikianza hivyo tunamfunga hata barcelonaKwa Mids tulizonazo Sasahivi Basi Hakuna Jambo linalonifurahisha Kama Kuona Combination ya Midfielders hizi HENDO - CAN - GINI