Kashkaji kanajifanya kajuaji alafu kanaongeaga pumba kinoma, kuna sehemu kamejifananisha na Bakhresa [emoji23][emoji23]Tatizo mkuu unajifanya unajua sana mpira wakati mpira haukupendi. Kuonesha kwamba hujui mpira ni kitendo cha kuwa shabiki bendera (hukubali kuelimishwa). Kwa akili yako 'fupi' bado unaamini Liverpool ni bora kuliko Man City, United na Chelsea.
Duh!Kashkaji kanajifanya kajuaji alafu kanaongeaga pumba kinoma, kuna sehemu kamejifananisha na Bakhresa [emoji23][emoji23]
Kamenikera kalivyo mdharau chief mkwawa, chief mkwawa kaanza kuangalia mpira kenyewe hata shule ya msingi hakajaanza.
Sahahu. haitakuja tokea tenaCheck hii...
View attachment 712560
...why?Sahahu. haitakuja tokea tena
Mpira haujashuka thamani kiasi hikiCheck hii...
View attachment 712560
Subiri matokeo...Mpira haujashuka thamani kiasi hiki
Helloooooo!Mpira haujashuka thamani kiasi hiki
Nimeona game ya Man U vs Seville!
Ni ngumu sana kuamini kama Man U hii inamfunga Liverpool!
Anyway ndiyo soka lkn Man U BADO sana jamani
Tunakubali tu matokea kwa our own silly mistakes
Upo sahihi mkuuMkuu mechi ya Liverpool na man u ,man u kapata shot on target 2 na hizo hizo Ndio magoli ,hayo magoli de gea alikuwa anaanzisha kwa kumpigia lukaku lukaku anaruka kwa kuupiga mpira huo kichwa kwa mtu wa mbele yake Baada ya hapo ni goli,kwa staili hiyo kwanini wasifungwe na sevilla.
Poleni sana mkuu nasikia kuna msiba mzito huko kwenu.Wazee wa kupes wameshindwa hata kufunga goli bailly hana roho mbaya
Majirani msiba unakaa wapi????
Poleni sana.
Hivi niseme karibu eeeh, au kwenye msiba hamna kukaribishana.Tunakuja msibani kwenu huko poleni sana aise ndio mpira huo.
Hivi niseme karibu eeeh, au kwenye msiba hamna kukaribishana.
Asante mkuu tushapoa
Tumia lugha za kiungwana,alafu umeshindwa kujua mazingira na uhalisia wa textHelloooooo!
Vipi mkuu habari za Sevilla?
Chukueni PF 3 kabla ya kwenda kuwashitaki Sevilla police kwa ubakaji walioufanya OT
Cool down kijana, ndiyo maana ya kuwa archrival...lazima tukupeni hizo "uppercuts"!Tumia lugha za kiungwana,alafu umeshindwa kujua mazingira na uhalisia wa text