Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unapiga mahesabu hujaenda uwanjani? Teh. Humalizi na point 70 msimu huu.
 
Mbinu zimewashinda braza.

Hakuna cha ku underperform.
 
Wewe sio kocha, hata level ya uchambuzi haupo.

Wewe ni shabiki.

Kocha anajua mbinu na wachezaji wapi watakaofit kwenye mbinu zake.

Kocha ndie anaefanya mazoezi na timu yake kila siku, anajua nani yupo fit na nani kimeo.

Kama unajua zaidi ya Klopp, nenda kaombe kazi Liverpool.
 

Tutamfukuza Maana hana vyeti vya ukocha
 
All in all, its a mere opinion the same as your reply.

My post and yours are gossips, useful for nothing !

Stop being arrogant !
 

Ni kweli kaka, timu imecheza vizuri na wanastahili kupongezwa. Tukiri kuwa tumecheza na timu bora iliyotumia makosa mawili kupata magoli mawili.
 
Hii bado haijaifikia Liverpool ya Kuit, Alonso na Torres. Na nyie Mane na Salah wakikosa tu hakuna mnachoweza kufanya. Maana wafungaji wenu ni Forminho, Mane na Salah tu.
 

Mimi nimeona kama wamecheza 6-3-1 walikuwa na wachezaji wawili wa kiungo cha kushambulia waliohangaika huku na kule Sanchez na Mata. Rashid alikuwa anaingia ndani kusaidiana na Mwalukaku.
Hakika wamefanikiwa. Mo alibadili kidogo mfumo wake wa kujilinda na siku zote hafeli katika hilo.
 
Pole sana wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…