Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kumbe Mbwembwe Zote Zile Coutinho Kukimbilia Barca Kaishia Kuwa Mchezaji Wa Sub??
Yani Angoje Mpaka Aumie Iniesta Ndiyo Aanze Yeye!!!!
Naona Hile Title Yake Ya THE MAGICIAN inapotea Polepole na Kusahaulika.
Kumbe Mbwembwe Zote Zile Coutinho Kukimbilia Barca Kaishia Kuwa Mchezaji Wa Sub??
Yani Angoje Mpaka Aumie Iniesta Ndiyo Aanze Yeye!!!!
Naona Hile Title Yake Ya THE MAGICIAN inapotea Polepole na Kusahaulika.
Workrate ya Firmino ni balaa...yaani anawazidi hadi holding midfielders kwenye tackles...duh!Bobby
Huyu mtu sio wakawaida ni vile watu hawajaona tu umuhimu wake kwenye game ila klopp nadhani anamfahamu zaidiWorkrate ya Firmino ni balaa...yaani anawazidi hadi holding midfielders kwenye tackles...duh!
Huyu mtu sio wakawaida ni vile watu hawajaona tu umuhimu wake kwenye game ila klopp nadhani anamfahamu zaidi
Watu ambao awajaona umuhimu wake hao sio mashabiki wa Liverpool,mashabiki wa Liverpool tunaona umuhimu wake
Nominee
Bobby
Watu gani nyie kazi yenu kuonyesha kama mnaijua Liverpool kuliko hata Klopp ambaye anaishi vyema kwa kazi ya kuwa koch wa Liverpool!
What make me sick ni kuwa Klopp akifungwa ni kumshambulia tu wkt kazi anayo ifanya inaonekana!
Mungu wenu Pep alikuta kikosi kizuri tu mwaka wa kwanza Man C alichukua kombe lolote?Si hadi kaleta watu ingawa team yake ilikuwa bora kuliko sisi?
Pep au Conte angechukua ubingwa CB wako ni Kolo Toure na striker ni Rick Lambert?
Liverpool ya mwaka jana ile mbovu vile kocha gani angeipa CL spot?Man U na bajeti yao kumbuka walikuwa wa 6!
Mheshimuni Klopp acheni uchambuzi wenu uchwara
Huyu Keita ni habari nyingine kabisa mkuu atawashangaza wengi sana msimu ujao manyumbu fc na labile wao wananena sana viluga msimu ujao sababu ya huyu mtuNaby Keita This Season:
• He’s scored four league goals - more than any of Liverpool’s current central players. All of them have came from outside the area, too!
• He also averages 3.5 successful dribbles a game - the Ox is closest to that figure with 2.3!
• He has two assists, which is beaten by Chamberlain’s three and Can’s four.
•Unfortunately for Naby, his pass success rate of 82% is lower than any of Liverpool’s midfield players. Gini Wijnaldum has the highest with almost 88%.
• Keita averages 2.5 interceptions a game - no Liverpool midfielder comes close to that, with Oxlade-Chamberlain the next best on 1.4!
• It’s only James Milner who out-tackles him, too, with Milner’s 3.4 successful challenges per-game edging Naby’s 3.1.
Kocha wake kathibitisha firmino kwenye kombe la dunia atacheza hata kama neyma yupo au hayupoMkuu Kwani Kuna Mtu ambaye Hajui Umuhimu Wa Firmino?
Upo Sahihi Kuwa Washabiki sote Wa Liverpool Tunafahamu Umuhimu Wa Bobby.
Lakini tu Bobby Kakosa Bahati That is Kawa ni Most Underrated Player Hapa duniani Kiasi Ya Kwamba Hata Kwenye Timu ya Taifa Ya Brazili Basi Huyu Ni Second Choice! Eti First Choice Ni Yule Dogo Gabriel Jesus ambaye Media Za Kibrazil Zinamrate Kuwa ndiye Striker Wa Timu ya Taifa Wakati Hamzidi Firmino Kwa Chochote.
Hapo Hapana Sababu Ya Kuwa Harry Kane asiwepo!!
Na Hapana Sababu Ya Hazard Kuwepo.
Na Hapana Sababu Ya De Gea asiwepo.
Kwahao Waliopo basi Hapana Sababu Ya Mo Salah asichukue Tunzo.
Gemu zetu 10 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-
√ Newcastle (H)
√ Man Utd (A)
√ Watford (H)
√ Palace (A)
√ Everton (A)
√ B'mouth (H)
√ WBA (A)
√ Stoke (H)
√ Chelsea (A)
√ Brighton (H)
Home (H} Ni 5 na Away (A) Ni 5.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 5 za Home na Kujikusanyia Points 15 na Katika Michezo 5 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 3 (Palace, Everton & WBA) na Kupoteza Mechi 2 (Manure & Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 18 Katika Hiyo Michezo 10.
Ukijumlisha Hizo Points 18 na 57 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 75.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..