Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Word mkuu. Nakukumbuka sana mkuu enzi za kina Tisha-TOTO. Wengine wamekuja juzi tu hapa wanataka kuuteka uzi na kuwa mali yao. Hii ni freeforum. Tunakosoa, tunashauri na hata kusifia.
Mwisho tunabakia wote kopites
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Mkuu naunga mkono uchambuzi wako, pia naunga mkono uchambuzi wa akina King Ngwaba, ila wakuu mnatumia lugha ngumu sana yakushambuliana na sio kuelimishana, ninaamini ukiamua wewe unaweza kuwa wa kwanza kurudisha heshima ya jukwaaMkuu za siku mingi!
Nakuhakikishia tu mm sitoki hapa na hamna wa kunitoa!
Nitakuwepo na nitaendelea kuchangia na nitaikosoa Liverpool na Klopp kwa haki sio kwa chuki kama wao!
Liverpool tupo mikono salama na luckly kuwa na Klopp!
Wakuu rudisheni upendo, sisi wengine kuchambua mpira hatuwezi, tunawasoma tunaelimika,Ushauri ulikuwa Umpe Yule Jamaa Ajikite na Uchambuzi na Sio Kuattack Member wenziwe!
Mbona Sijawahi Kukuona Kumuelimisha Kuhusu Umuhimu Wa Kutofautiana mawazo na Wengine?
Au Huoni Kama Anatumia Muda Mwingi Kupost Mipasho Badala ya Kuchambua Maendeleo ya Timu?
Mkuu usiwe Biased Kiasi Hicho! Mshauri Vizuri aweze Kupost Mawazo Yake sio Asubiri Mtu Kashapost yeye aanze Kumuattack Kwa Mipasho badala ya Hoja!
Hakuna sehemu uliokosea Tumeshachoka na Mipasho ya Taarab ujumbe umeshaupataWakuu (zumbemkuu na wengine) Naomba Samahani Kwa Maneno Makali Niliyotumia!
By the way Nahisi Hili Limekwisha Kwa Upande Wangu na Wengine Kwasasa Ninarejea Kujikita Kwenye Kupost Kuhusu Maendeleo Ya Timu Na Game Yetu inayofuata.
Its Over now!
Nakuignore Leo ndio mwisho wa kuziona pumba zakoDon’t argue with these PTSDs creatures
Don’t argue with the fools!
Sitawajibu tena nyie ni wa kuwapuuza tu!
Let me enjoy very entertaining football from Klopp
We are Liverpool
Viva Klopp
Nafunga mjadala kuhusu hili genge uchwara
Tatizo huyu mpumbavu haelimikiSiungi mkono hii hoja. Malafyale yupo hapa jukwaani kitambo kuliko wewe. Kumweka kwenye ingore list si kumzuia kutoa maoni yake. Mie naheshimu mawazo ya wote. Kama upendezwi na aina ya coments zake basi mpotezee tu.
Al tast we all remain REDS.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Mimi nishamuignore sitoona tena upuuzi wake tenaNi Kweli Yupo Mwanzo Hapa Kwenye Thread, Lakini Ninauhakika na Ninaamini Kuwa Mimi Nimeifahamu Mwanzo Liverpool Kuliko Yeye Kwani Kujiunga #JF Mwanzo Haimaanishi Kuwa Ndiye Ulieijua Liverpool Mwanzo!
Mimi Nimeanza Kuishabikia Liverpool Miaka 17 kabla ya Kujiunga na #JF.
BTW:
Ukweli Ni Kwamba Sikusema Hivyo Kwasababu Tumetofautiana Mawazo! Sisi Tunakubali Mitazamo tofauti Na Wengine, Lakini Yeye [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] Ndiye anaekataa Mitazamo Yetu!
Mfano: Sisi Tunapost Mijadala Kuhusu Timu, Wamiliki na Kocha wetu na Wakati Mwengine Tunalaumu mienendo Yao! Na Wala Hutukuti Humu Kukaa Kumdiscuss Member au Kumpiga Vijembe.
Timu inaposhinda au Kupoteza Mchezo Tunalenga Maoni Yetu Kwa Timu na Kocha.
Lakini Yeye Cha Ajabu Muangalie Posts Zake! Zote utakutia Ni Mipasho, dharau na Majungu Kwa Sisi Tunaokosoa Mienendo ya Timu.
Mfano Timu Ikishinda haji Kuchambua Ushindi! Bali anakuja na PERSONAL ATTACK Kwa Baadhi Ya Member Humu Kama vile, [HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG], MosDef , koncho77 , M-mbabe n.k.
Sisi Tunakubali Challenge za Mpishano Wa Kimawazo Kwa Members wote Humu! Lakini Yeye Hakubali Challenge zetu!
Hebu angalia Comments zake kweli Ni za Kimpira?
Kwanini atuattack sisi member wenzie?
Maneno Kama Wachambuzi uchwara, Upuuzi, Kutulabel Kuwa Tunajifanya tunaijua Liverpool kuliko Klopp, na Mengine Mengi hayo si maneno ya Kisport!!
Mbona Sisi Timu inaposhinda au Kupoteza Mchezo Hatutafuti Member Humu kwenye Thread Tukamnyooshea Kidole! Wala Hatuleti Mipasho Kwa Member Wengine?
Hebu pitia post zake Alizoziandika Baada Ya Mechi ya Liverpool na FC Porto uone Mipasho na Vijembe anavyopiga Kwa Member wenziwe!
Sasa Mtu anayejikita kwenye Mipasho badala ya Kujikita Kwenye Uchambuzi unahitajika ufanyeje badala ya Kumdharau?
Mimi Sipingani na Mtu tunayetofautiana Kimawazo! Bali Siendani na Mtu anayenishambulia Kwa Kutofautiana nae.
HahahahahahaMimi nishamuignore sitoona tena upuuzi wake tena
Leaked ... for next season
To me they look old fashioned tho!!Leaked ... for next season
hahahaha!! wayment..Yo! excuse me for my lame language today.
i had to get that out.
Pengo lake halionekaniCoutinho kama namuina anavojilaumu
Liver ya sasa ipo tayari kwa timu yoyote mkuuliver mpaka hapa mmeishavuka hii hatua ila kitakachowakuta huko mbele ya safari ni aibu ya mwaka, ngoja tusubiri