Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mkuu usiwe na wasiwasi hiyo game tunashinda,game ngumu ilikuwa na burnley yumbani kwao .sasa hivi southampton hakuna kitu vvd hayupo maana ndio alikuwa anatubania.

Southampton hii sio kama ya msimu uliopita
 
Halaf uwendawazim mkubwa ni kumuacha emre aende bayern or juve for free kisa kuendekeza blind faith kwa kina hendo ambao teyar wamefika umri ambao they have no room for improvement..hendo anafika 28 mwakan. Yan uyo keshapeak zamani sana. Emre bado hajafika peak years ataenda kua top player akiwa juve or bayern.pia njia pekee ya kumshawish can asign ni kumpa ile role 6 awe regular... number 8 hawez kuchez vizur consistently hana agility kama ya kina lallana gin...germany national team anachez 6 ndio inamfaa iyo position.
Mueke number 6 game nying mfululizo sio leo 6 kesho 8 haezi kudevelope namna iyo .msim wa kwanz wa klopp emre alivopew number 6 alikua our best mid mpaka akachaguliwa kweny europa league team of th3 year kama number 6... number 8 ana games zake nzur na mbaya...halaf patnership yake na hendo ilishafel toka zaman..hapo anatakiwa kuanza mmoja tu..
 
View attachment 692281 this is the captain of the biggest club in england. how the mighty have fallen.
but it is not his mistake , hajipangi yeye uwanjan. lets support our captainnnnnn
[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Tokea ianzishwe Liverpool basi Huyu Ndiye Captain Mbovu Zaidi Kuwahi Kutokea Katika Historia Ya Liverpool.
 
Hii season ilikua ya kuipgrade both our central midfielders na foward but klopp did neither..i hope he will be in a market for 1 mid and forward in summer...
Tuhope our attack will carry us again this season.. but it is frustrating to think kua kama we signed foward and top midfielders & top golie last January, tungekua real challengers huu msim..but klopp has wasted this season
 
 
sina tatizo na armband ila regular place et no 6 ?[emoji13] [emoji13]

Problem ni Kuwa Hendo sio Naturala No. 6 na Klopp alijitahidi Kumpa Uhuru katika hiyo position Bila ya Kupata Challenge yoyote lakini ameshindwa Ku-Adapt na hiyo Position.

Kwasasa Ndani Ya Liverpool Natural No. 6 ni Emre Can peke yake bado Hajapewa Uhuru Katika Hiyo Position! Nafikiri iwapo atakubali Kuongeza Mkataba na Kupewa freedom ya Kuplay regularly katika Hii position basi ataimaster vizuri tu hii position na Kuweza Kuwa One of the best Defensive Midfielder (almost B2B).
Now ni Wakati Wa Klopp Kufanya Maamuzi Magumu kuwa ni
Hendo au Can..!
Si vibaya Hendo Kurudishwa Katika Position Yake ya Asili ya Attacking Midfielder ili Asubiri FA na Carabao.
 
am very impressed with emre Can, proper midfielder and 2000 times better than Henderson
Henderson is shit, uncomfortable on the ball, no killer passes , poor set piece taker, poor leadership qualities,
 
Captain Hendo:
Katoka na Arsenal 0-0 kaumia dakika 90 ikawa 3-3
Hajacheza na Swansea
Vipi na WBA?
Hendo mnamfanya scapegoat tu,tatizo la Liverpool ni zaidi ya Hendo na uzuri ni kuwa Klopp anafanyia kazi mapungufu haya!
 
Captain Hendo:
Katoka na Arsenal 0-0 kaumia dakika 90 ikawa 3-3
Hajacheza na Swansea
Vipi na WBA?
Hendo mnamfanya scapegoat tu,tatizo la Liverpool ni zaidi ya Hendo na uzuri ni kuwa Klopp anafanyia kazi mapungufu haya!


Hata Siku Ya Sevilla Mpaka Half-Time ilikuwa 3 - 0 lakini Mwisho Wa Mchezo ikawa 3 - 3.

Jifunze Kufanya Comparison za Kimpira! Najiridhisha Kusema Kumbe Siku Zote tunazojadili hapa Hujui Tunajadili Nini that is upon negative kwa Kila tulisemealo.

SASA NIKUEKE WAZI TU:
1) Sisi Hatumlaumu Hendo Kwa Kuangalia eti Mechi Fulani Tumefungwa au Kudraw! Sisi Tunacholaumu Huyu Jamaa Hile uwezo hasa Wakucheza Club kama Liverpool hana. Vile vile Hana Sifa za Leadership anapokuwa uwanjani.
Kwahiyo Hata Tushinde 7, 4 au 3 haimanishi Kuwa Hendo kaboreka, Hapana! Bado atabakia Kuwa ni Mbovu tu.
Huyu Next Season ni aibu Kuja Kucheza Mbele ya Keita au Can.

3)
Na kuhusu Jürgen Klopp Ni Kwamba Hakuna Hata Mshabiki mmoja Wa Liverpool aliye na Shaka na Ufundi wake! Sote tunaamini Kuwa Klopp ndiye Kocha Sahihi Wa Kuiongoza Liverpool! Klopp ni Kocha Bora Kabisa pasipo na Shaka Yeyote! Klopp ndiye Kocha Pekee ambaye anaweza Kuirudisha Liverpool pale ilipokuwepo..
Hatumlaumu Kolopp Kwa Ufundi Wake, ila Tunachomlaumu Klopp ni Baadhi ya Sera Zake tu! Kama vile:-

Sera zake Za Kukumbatia na Kuwatetea Wachezaji wabovu:

Hii inapelekea Kutuvunja Moyo mashabiki kwani Sote Tulishuhudia Karibu Michezo 10 ya msimu Huu Lovren alikuwa akifanya Makosa yenye Kujirudia ambayo yaliigharimu Timu na still alikuwa akimuamini na Kumkingia Kifua.

Sera zake za Upangaji Timu:

Ni zile za Kuweka Juu Wachezaji Muhimu katika Mechi Kubwa na Muhimu kwa Kile alichokiita Rotation Bila ya Kuangalia Uzito Wa Mechi yenyewe Kwa Mfano Liverpool vs Chelsea, Liverpool vs Everton e.t.c.

Sera zake Za Uhamisho Wa Mikopo:
Hapa wengi tunamlaumu Klopp Kwa Sera hii Kwani Ni ajabu Kumtoa Mchezaji kama Origi au Strurridge Kwa Kumtegemea Danny Ings na Solanke.

Kwahiyo Mkuu Nakuambia tutu sisi Hatuna Mashaka yoyote na Ufundi Wa Klopp Wala Hatumdharau Klopp, na Tunajua Kuhusu usajili ni si tatizo lake Bali ni Tatizo la [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG].
 
Liver msimu huu msipoangalia top 4 hamuingii

Mark my word
 

You have nailed it. Sina cha kuongeza.
 
Mnatujazia tu thread kwa maelezo marefuu kujiona kama wao ndiyo wanaijua sana Liverpool tena wanajua kuliko hata JK
Thread ndefu hamna lolote la maana zaidi ya kuitana majina kama huyu anajua huyu hajui!
Liverpool hii ni imara kuliko Liverpool yyt ile ktk modern football na makombe yatakuja!
Hata hizo Barca sijui Madrid kuna miaka tena ya karibuni tu walikuwa wanatolewa na Liverpool wakarudi wakajipanga wakaanza kuchukua UCL
JK ni kocha sahihi kwa Liverpool anaisuka team na makombe yataanza kuja tu!
 
Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu. Amesema mchezaji wa Tottenham Dele Alli alifanya kitendo hicho kwenye mchezo wa jumapili huko Liverpool na kusababisha mwamuzi kutoa adhabu ya penalti.
Mchezaji mwingine ambaye anatuhumiwa kufanya kitendo hicho ni Harry Kane, alifanya hivyo kwa mchezaji Virgil van Dijk wa Liverpool na kusababisha mpira wa adhabu

Wenger amesisitiza kwamba anakumbuka kumekuwa na kesi za wachezaji kutoka nje ya Uingereza, lakini wachezaji wa Uingereza sasa wameiga tabia hiyo na wamekuwa vinara wa matukio hayo kuliko wachezaji wengine.
 
Dele Ali alivyojiangusha hapakuwa na penalty. Jaribu kufatilia habari vizuri halafu uilete
 
Quarters and Semis Revealed

Liverpool ikiwa itaitoa [HASHTAG]#FCPorto[/HASHTAG] Katika [HASHTAG]#Round16[/HASHTAG], Basi Kwenye Quarter itakutana either Manchester City or
FC Basel.

Na ikiwa itashunda Kwenye Quarter, Basi Kwenye Semi itakutana na Mshindi Wa Michezo hii PSG/Barcelona and Real Madrid/Basel.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Liver msimu huu msipoangalia top 4 hamuingii

Mark my word
hakuna lolote la maana uliloongea maana umesema tusipoangalia manake tunaweza kuingia ama tusiingie. Na hivyo ndivyo ilivyo kwa timu zote kuingia top4 au kutoingia top 4 isipokua makini. Sasa cjui hyo kumark your words ni ya nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…