Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mignolet utadhani kipa wa umiseta!
yaani jana bila VAR tulikua tumelala 5 bila ubishi...kwa makipa hawa hata ununue mabeki wa bei kubwa itakua bure kabisa..
wasiwasi wangu ni Klopp kukosa plan B mapema na kuchelewa kufanya Sub kipindi cha pili...jana Can alishapotea kabisa na baada ya zile sub ndio timu alishambulia kwa mipango..
je kwa uchezaji wa jana kweli Porto na Kubaki Big four jamani si itakua mpaka washidani wetu wapotee...
 
Mignolet auzwe????
Karius auzwe ????
Kwa Klopp huyu huyu anaye amini Football is all about coaching hahahaha Wataimprove tu Hahahahahaha
 
fcc6dba8ad2c76086199f98f79a5dc1a.jpg
 
yaani jana bila VAR tulikua tumelala 5 bila ubishi...kwa makipa hawa hata ununue mabeki wa bei kubwa itakua bure kabisa..
wasiwasi wangu ni Klopp kukosa plan B mapema na kuchelewa kufanya Sub kipindi cha pili...jana Can alishapotea kabisa na baada ya zile sub ndio timu alishambulia kwa mipango..
je kwa uchezaji wa jana kweli Porto na Kubaki Big four jamani si itakua mpaka washidani wetu wapotee...

Usisumbuke! Miongoni mwa Zarau Kubwa Aliyotuonesha Klopp Ni Kumpa Ucaptain Can mtu ambae Kashaikataa Timu na Moyo wake Uko Timu Nyengine.
 
Klopp Bana alimvuruga Migs kisaikolojia halafu akampanga Jana

Our year, next season msemo wetu unaendelea ... hivi mataifa ya Africa mwakani hakuna
Na bet only uefa
sijui Klopp anahitaji misimu mingapi ili aweze kujenga timu ya kubeba ndoo?

Conte msimu wa 1 - EPL
Mourinho msimu wa 1 - Europa & LC
Guardiola msimu wa 2 - atabeba EPL & LC
Klopp msimu wa 3 - ??????!!!!!!
 
Nazani klop anapaswa kumtafuta defensive coach mzuri amjumuishe kwenye jopo lake,,,,,mourinho hana beki wazuri lakin ametengeneza pattern nzuri,,
 
sijui Klopp anahitaji misimu mingapi ili aweze kujenga timu ya kubeba ndoo?

Conte msimu wa 1 - EPL
Mourinho msimu wa 1 - Europa & LC
Guardiola msimu wa 2 - atabeba EPL & LC
Klopp msimu wa 3 - ??????!!!!!!
Hapo tu watu watabaki kum-defend Tena

Atabeba?
Mkuu mpaka wabebe ndiyo tuongee
 
yaani jana bila VAR tulikua tumelala 5 bila ubishi...kwa makipa hawa hata ununue mabeki wa bei kubwa itakua bure kabisa..
wasiwasi wangu ni Klopp kukosa plan B mapema na kuchelewa kufanya Sub kipindi cha pili...jana Can alishapotea kabisa na baada ya zile sub ndio timu alishambulia kwa mipango..
je kwa uchezaji wa jana kweli Porto na Kubaki Big four jamani si itakua mpaka washidani wetu wapotee...
Porto atafungwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom