😀 😀 😀 Yaani Ni Mtindo Wa Kucheka tu Siku Hizi! Silalamiki Na Sikosoi Chochote!
Tayari ipo wazi Kwamba Hii Season imekwisha sasa nimpigie kelele nani??
Mpaka Sasa Katika Hii Sayari Ni Malafyale Peke Yake ndiye Mwenye Imani Kuwa Liverpool Ni Bingwa Wa Ligi Kuu Na Bingwa Wa UCL msimu huu.
Wakuu Tuonane Next Season.
msemo wetu unaendelea ... hivi mataifa ya Africa mwakani hakuna
Klopp Bana alimvuruga Migs kisaikolojia halafu akampanga Jana
Our year, next seasonmsemo wetu unaendelea ... hivi mataifa ya Africa mwakani hakuna
![]()
Na bet only uefa
maneno matupu hayajengi ghorofaMigs has to GO
Karius has to GO
Liverpool aje kipa mpya na msaidizi Ward
Pia akija Keita hii team bingwa
maneno matupu hayajengi ghorofa
Una maswali ya kipuuziWakuu vipi leo coutinho hakucheza?
.....alicheza Sanchez !Wakuu vipi leo coutinho hakucheza?
Ndo mana mlipigwa alitakiwa kucheza coutinho......alicheza Sanchez !
.....Sanchez baana aah !Ndo mana mlipigwa alitakiwa kucheza coutinho.
Klopp nae pa kumpanga coutinho kamuweka sanchez wakat akili ipo man united kimwili yupo liverpool.....Sanchez baana aah !
Aende wapi unadhaniDaaah....Mignolet si aondoke tu kama katuchoka !