Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
Kuna comment humu nilikwambia Liver wanawafungaga wakubwa, wale walio chini ya top 6 huwasumbua, ukadai mwaka huu ni tofauti, na ukanihakikishia kwamba The Swans wanafuata kuchinjwa baada ya Mancity.
Leo mmekimbia jukwaa lenu.
Kwahiyo ulikuwa ukivizia Liverpool ifungwe Mchezo mmoja tu uje uandike huu utumbo??
Sasa Ukweli Kama Upo Hauviziwi bali Unakuwepo Siku Zote! Na ukiona unavizia Jambo Kama Hivi kuwa iko siku litatokea basi hiyo tunaita "Possibility"... Na halina ulazima Kuwa uwe Ukweli.
Kinachokusumbua Hujui Mpira Ni Nini!!! Hapa bado Hujaprove chochote Kwa Kauli Yako Bali Umeandika tu Kwa Sababu uambiwe umeandika..
Katika Timu Zilizo Nje Ya Top Six Tokea ilipoanza Ligi Mpaka Jana Tumeshacheza Michero 24 Ni SWANSEA pekee Ndiyo iliyotufunga!!! Sasa Hapa umetumia Kigenzo Gani Cha Kusema Tunasumbuliwa na Vibonde???
• Man United Msimu huu EPL kafungwa na Huddersfield..
• Chelsea Msimu Huu Kafungwa na Crystal Palace...
• Arsenal Yeye ndiyo hasemwi hasa...
Lakini Umetumia Vigenzo Gani Hata Hapa Ukaiona Liverpool pekee hasa usiwaone???
Kulingana Na Mawazo Yako Finyu Hapo Ni Wazi Kuwa Sio Liverpool pekee! Bali Man United, Arsenal Na Chelsea Wote Wanasumbuliwa na Vibonde na Si Top 6.
Yaani Kama Unapima Uwezo Wa Timu Kwa Mchezo Mmoja bro nakupa pole!!!
Yani Tokea round ya Kwanza Nzima Mpaka Kufikia Round Ya Pili Kufungwa Mchezo Mmoja tu unajifanya Koprove Mawazo Yako Yaonekane Sahihi!!!
Hapa Usilete Dhana, Lete Stats Zinazothibitisha unachokizungumzia.